Samweli Sitta anafaa kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
704
989
Baada ya kutangazwa kwa wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba napendekeza wabunge hao wamchague Mh, Sitta kuwa Mwenyekiti kwa kuwa alionesha kulimudu vyema bunge la JMT haswa katika mambo yenye maslahi ya taifa.

Natoa rai yangu kwa wajumbe wote 600 wasije chagua watu watakaopokea maelekezo kutoka serikalini. Katiba hii ni yetu na inahitaji mtu anayeona mbali na wala haongozwi na chama wala serikali.

Karibuni nanyi mpendekeze. Ni mdahalo wa wazi utakaowaongoza wajumbe kupata Mwenyekiti mwenye uwezo wa kulimudu bunge vyema, tusije pata watu kama akina Ndugai waliotawaliwa na usdhabiki na Jaziba.

NB tungepata mtu asiye na chama ingekuwa bora ila sidhani kama watakubali kumchagua mtu asiye na chama chochote cha siasa. hasa nje ya CCM
 
Mwenyekiti kingunge sipati picha wajumbe kila siku wangekuwa wanasusia
 
Kwa suala zito kama katiba mpya, na kwa kuzingatia real politik, anayeweza kutendea haki kiti cha Spika ni Mussa Azzan Zungu.
 
Baada ya kutangazwa kwa wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba napendekeza wabunge hao wamchague Mh, Sitta kuwa Mwenyekiti kwa kuwa alionesha kulimudu vyema bunge la JMT haswa katika mambo yenye maslahi ya taifa.

Natoa rai yangu kwa wajumbe wote 600 wasije chagua watu watakaopokea maelekezo kutoka serikalini. Katiba hii ni yetu na inahitaji mtu anayeona mbali na wala haongozwi na chama wala serikali.

Karibuni nanyi mpendekeze. Ni mdahalo wa wazi utakaowaongoza wajumbe kupata Mwenyekiti mwenye uwezo wa kulimudu bunge vyema, tusije pata watu kama akina Ndugai waliotawaliwa na usdhabiki na Jaziba.

NB tungepata mtu asiye na chama ingekuwa bora ila sidhani kama watakubali kumchagua mtu asiye na chama chochote cha siasa. hasa nje ya CCM

cna uhakika kama Sita anafaa coz kunakipindi nilimsikia anapinga serikal tatu
 
Baada ya kutangazwa kwa wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba napendekeza wabunge hao wamchague Mh, Sitta kuwa Mwenyekiti kwa kuwa alionesha kulimudu vyema bunge la JMT haswa katika mambo yenye maslahi ya taifa.

Natoa rai yangu kwa wajumbe wote 600 wasije chagua watu watakaopokea maelekezo kutoka serikalini. Katiba hii ni yetu na inahitaji mtu anayeona mbali na wala haongozwi na chama wala serikali.

Karibuni nanyi mpendekeze. Ni mdahalo wa wazi utakaowaongoza wajumbe kupata Mwenyekiti mwenye uwezo wa kulimudu bunge vyema, tusije pata watu kama akina Ndugai waliotawaliwa na usdhabiki na Jaziba.

NB tungepata mtu asiye na chama ingekuwa bora ila sidhani kama watakubali kumchagua mtu asiye na chama chochote cha siasa. hasa nje ya CCM

Tuwaachie wabunge wenyewe waamue, ila naamini SITTA hana tatizo.
 
Hivi kumbe kuna mwenyekiti? Mi nilidhani watakuwa hao hao makinda na ndugai!
 
WENYE KUUTAKA UENYEKITI NASHAURI WAOMBE-WAONYESHE COMMITMENT.oooh Sorry nimekosea, maana wajuaji wengi matokeo yake wataomba 357 halafu mchakato wa kuwachagua na kuwachuja utafutikisha mwezi JUNI, Majanga !!!!
 
Web swala nyeti km à hili umpe makinda na ndugai si ngumi zitalika

hawana matatizo, sema tu ni taratibu kuwa lazima kuwepo na uchaguzi wa wengine kwa vile hili ni bunge maalum, lakini wanaweza kuchukua fomu na wakapita.
 
Tuwaachie wabunge wenyewe waamue, ila naamini SITTA hana tatizo.

Mawazo yetu yanaweza kuwa dira ya kuwaongoza.
Pia si kila mtu anaweza kuwa mkiti tu kwa kuwa anaongea pointi, La hawa wanaoongea kama akina Tundu , Mtikila na wengine ni vyema wasiwe m/viti kwa kuwa wao tutawategemea katika kutoa michango.
 
Mtikila si alisema anaenda mahakani kupinga mchakato mzima
 
Back
Top Bottom