Samwel Sitta yupo wapi?

Mkambarani

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
287
251
Napenda kufahamu Spika mstaafu, Samwel Sitta anafanya nini kwa sasa. Je, anajenga Taifa? Amepumzika? Au anatumikia chama?

Tafadhali nimemkumbuka sana.
 
Alikuwa waziri Wa tamisemi na ndo wizara pekee iliyohamia Dodoma. Pale ndo nyumbani kwake.
 
Mimi bado ni mshabiki wa Mama Makinda pamoja na mapungufu yake kama tulivyo sisi binadamu.Kama katiba yao CCM inaruhusu,nigheshauri huyu MAMA awe Mwenyekiti na Mh.Rais aendelee na Serikali kwani kuna mengi..mengi..saana ya kurekebisha serikalini.
 
ni mwenyekiti kama sio mkurugenzi NHIF
 
Alimsaidia Jk kumnyofoa Lowassa 2007 kwny I PM, Lowassa nae akamsaidia JK kumchomoa Sitta kwny uspika 2010 kwa kumtumia Mzee Makamba kwny kipengele cha jinsia. 2015 JK akatumia Kamati ya Maadili kuwachinja wote Lowassa na Sitta kwny kinyang'anyiro cha Urais CCM. Utatu Mtakatifu wa kisiasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom