Monsgnor
JF-Expert Member
- Mar 26, 2012
- 550
- 562
Wewe mbona uelewa wako mdogo.....hiyo kauli kaitoa kuwatoa hofu wananchi wa huko ili wajue serikali yao inawlinda na iko tayari kuwatetea kwa njia yoyote...sasa vita hapo imetangazwa vipi? Au labda umeshasikia jeshi limeanza kwenda huko...Usikurupuke!Amesema kuwa " wananchi wa Mikoa ya Mbeya,Iringa na Ruvuma wasiwe na wasiwasi kwani Tanzania iko tayari kupambana na uchokozi wowote ule kutoka kwa Malawi"
Hii ni kauli nzito ya kuashiria kuwa tayari kwa mapambano na Malawi ni kauli ya kutangaza Vita na ni kinyume na katiba angeweza kusema kuwa tuko macho na tunafuatilia kinachoendelea ila kusema tupo tayari kwa mapambano na uchokozi wowote ni vita hiyo......huku ni kutangaza na sio kwamba namlisha maneno./