Samwel Sitta na Anna Kilango Malecela kuongoza maandamano Mbeya

Bado sijapata jibu kwamba lengo la maandamano ni nini? Au wameamua tu kuandamana? Hawana sababu? Hivi watu wataenda kwenye maandamano yasiyokuwa na malengo? Kama yana lengo la kuwakandamiza zaidi? Wataandika nn kwenye mabango?
 
Back
Top Bottom