Asee wewe umenifurahisha sana.6 Mnafiki yani 2015 bora rais awe Dovutwa kama vp.
Nawasiwasi sana na wewe kwa nini kila post yako unapenda kutumia neno kuhara?Bata bata nyambafu!Wanahara, bata wanahara na kula hapo hapo,Thats what ccm behaves!
Umesahau tunduma mama jk kwenye kampeni alizomewa wakampitisha njia za vichocholoni naye jk walimpokea kwa kushangilia chadema chadema na kuonyesha vidole kuashilia chadema walikuwa na mwandosha wasome nyakati6 atapokelewa na ccj ccj ccj ccj
- kama kweli unalo sema hawa wanapenda aibu tu mbeya kwa sababu;
- mawaziri walizomewa walipo tumwa kuelezea uzuri wa bajeti pale Ruanda - Nzowe ( Uwanja wa Dr W. Slaa)
- raia walilala barabarani pindi RAIS JK anapita na walimzomea akaahadi kuunda kamati ya vijana ili kuchunguza kero zao jambo ambalo hadi sasa halijafanyika (hii ilikuwa Mwanjelwa katikati ya JIJI
- Msafara wa JK ulipigwa mawe Chunya
- Malecela na Mwandosya walizomewa Uyole walipo kuwa wanamtambulisha Shitambala
- wameibwaga CCM katika uchaguzi wa mbunge kura 23000 CCM na 46000 CDM
- MATUKIO YAPO MENGI HAWA WAZEE WAFANYE MAANDAMANO SEHEMU NYINGINE MBEYA WANATAFUTA AIBU BURE
Mzee kwenye RED hapo... unanikumbusha mbali sana, lugha gani hiyo?
[/QUOTE Kwani wanataka kuandamana juu ya nini?kama ni kweli basi me nawashauri wakafanyie IGUNGA kule ndio watawapata wengi,wasisahau kwenda na Tsheti,kofia na kanga.
- kama kweli unalo sema hawa wanapenda aibu tu mbeya kwa sababu;
- mawaziri walizomewa walipo tumwa kuelezea uzuri wa bajeti pale Ruanda - Nzowe ( Uwanja wa Dr W. Slaa)
- raia walilala barabarani pindi RAIS JK anapita na walimzomea akaahadi kuunda kamati ya vijana ili kuchunguza kero zao jambo ambalo hadi sasa halijafanyika (hii ilikuwa Mwanjelwa katikati ya JIJI
- Msafara wa JK ulipigwa mawe Chunya
- Malecela na Mwandosya walizomewa Uyole walipo kuwa wanamtambulisha Shitambala
- wameibwaga CCM katika uchaguzi wa mbunge kura 23000 CCM na 46000 CDM
- MATUKIO YAPO MENGI HAWA WAZEE WAFANYE MAANDAMANO SEHEMU NYINGINE MBEYA WANATAFUTA AIBU BURE
Jambo unalo hoji ni personal halina faida kwa Taifa .Mambo haya hufanywa na wana CCM pekee .Ukisema wana JF tuna hoji mimi nakataa nasema ni mwana JF na siwezi kuhoji mambo ya mtu yasiyo na faida .Nadhani sema una hoji mwenyewe kupitia JF .
6 Mnafiki yani 2015 bora rais awe Dovutwa kama vp.
hivi kwa nini wasiende kufanya haya maandamano msoga au bagamoyo ....Sitta bwana yaani ana ujanja wa kizee na wa kishamba sana..hivi kwa mawazo yake anadhani kuna mtu anamu admire ??? hili zee bana