Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

Sitta alipita hiyo wizara ilikuwa ni business as usual alafu leo anaongea nini sijui. Kusimamisha mtu kupisha uchunguzi kuna ubaya gani kama kitu kipo sawa uchunguzi utajieleza. Sitta anafahamika kwa vinyongo bado hakubali kuwa waliyemchukulia poa sasa ndio rais.
Naona Mzee Six la kwake limeiva na vifaa tayari vipo thieta anasubiri kupelekwa tu na kutumbuliwa!
 
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.

Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.

Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna

Merry X-mass & Prosperous NY!.

Pasco

Wacha kulialia wewe hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni Watanzania walipa kodi. JPM kaza buti hawa walafi hadi waishe.
 
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.

Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.

Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna

Merry X-mass & Prosperous NY!.

Pasco
Acha chuki. na acha kukurupuka na tabiri zisizo na miguu wala kichwa. Huyo Sitta unaemtetea alikuwa Waziri uchukuzi huku makontena yakipita.Mwambie Sitta atulie tu,muda ukifika ataunganishwa na wezi wa TRL TPA na RAHCO.
 
Katika ile dhana ya kusoma namba, ni wazi imeendelea kuwatafuna wanachama wa chama changu. Katika gazeti la leo, aliyekuwa spika wa bunge la tisa ametoa kali na kusema Rais Magufuli anashauriwa vibaya. Hasa baada ya kutumbua jipu la Reli.

Samwel Sita, kasema Magufuli kachukua hatua hiyo baada ya kushauriwa vibaya, na vile vile ingemfaa achukue muda wa kujiridhisha kwanza!...

Mtanzania, 24.12.2015

marehemu aliowapigisha kura wakiwa kuzimu wanaanza kumridi

KARMA ipo
 
Hayo mambo ya ushauri yametusaidia nn kwa miaka 10..watu wameiba mabil sisi tunataka akaze mwendo huo huo spid 230 nchi ishakua ya kijinga sana hii
 
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.

Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
[h=3]If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.[/h][h=3]Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna [/h] Merry X-mass & Prosperous NY!.

Pasco
Nilishangilia sana hadi alipoapishwa, lakini sasa nshaanza kuingiwa wasiwasi...labda tunahitaji mda zaidi.
 
Huyu mbakaji wa mchakato wa katiba mpya has no moral authority to speak about anything essential to this country. he had his time but he wasted it.

Amekasilika Magufuli hakumpa mkewe uwaziri!!! Atule tu muda wake umepita!!
 
Unaandika kama upo kwenye vijiwe vya kahawa. .do you have any relevant examples to support your claims? Eti hashauriki. .mnataka mtu wa kucheka cheka sio? Magufuli ni zero tolerance na ndio tunataka rais wa hivyo. Izo hearsay zenu peleka huko

Magufuli ana washauri mahili anaowasikiliza lakini hazikilizi ushauri wa kipuuzi!! Mkweree ndio alikuwa anasikiliza ushauri wa wapuuzi na mmeona alipotufikisha?
 
Sitta kama ana muogopa Magufuli si aseme tu ataeleweka,Magufuli afanye yeye walaumiwe washauri wake,ana juaje kama Magufuli ana fanya kile anacho shauriwa na washauri wake?.

Walikuwa pamoja, wamoja wakati wanasigina maoni ya wananchi kwenye mchakato wa katiba mpya. Wanapoanza kuumbuana watz yapaswa tuwe makini nao. Huo ni ugomvi wa wachawi ndg
 
Sitta ajilaumu mwenyewe, dhambi ya kusigina katiba na kukashifu watumishi wa Mungu itamtafuna mpaka akhera mnyamwezi yule!

Katika ile dhana ya kusoma namba, ni wazi imeendelea kuwatafuna wanachama wa chama changu. Katika gazeti la leo, aliyekuwa spika wa bunge la tisa ametoa kali na kusema Rais Magufuli anashauriwa vibaya. Hasa baada ya kutumbua jipu la Reli.

Samwel Sita, kasema Magufuli kachukua hatua hiyo baada ya kushauriwa vibaya, na vile vile ingemfaa achukue muda wa kujiridhisha kwanza!...

Mtanzania, 24.12.2015
 
Kuna kitu watu hawakijui kumhusu Magufuli, hoja ya kuwa anashauriwa vibaya sii hoja, kwasababu Magufuli ninayemfahamu mimi, hashauriki, na hana hata chembe ya busara!, Magufuli ni mtu wa maamuzi magumu kwa haraka, pupa na papara!.

Wengine hili tuliliona na tukalisema mapema tuu!, tena huu ni mwanzo!, nawaambieni subirieni tuu, na ikitokea akanogewa na urais, kile kipengele cha two 5 yeas terms kitaondoka and no one can stop himi!, mtaniambia!.
[h=3]If you can't beat them, join them! He is the worst dictator.[/h][h=3]Kwa Kasi Hii ya Magufuli na "Hapa Kazi Tuu", Hivi Kweli Kuna [/h] Merry X-mass & Prosperous NY!.

Pasco

Pasco.
Acha kwanza tuendelee na hizo papara na pupa. Tumetumia sana hizo busara mnazotaka na mpaka sasa tuko hapa.
Matumizi na udhibiti wa fedha za umma unahitaji big overhaul kwa manufaa ya umma.
Nasema tena tuiache hiyo pupa iendelee... Enough is enough.
 
SAMWEL SITTA hana moral Authority ya kushauri chochote...akae tu apumzike aistuharibie nchi...alikuwa na fursa ya kufanya makubwa kwa nchi hii akaharibu kabisa....nimsaliti nimesoma pahala humu ndani kwamba ataandika kitabu....nitashangaa atakaye nunua hichio kitabu labda kama kitakuwa cha kujisomea mwenyewe hapo nyumbani Kwake....Ametenda kosa la Mauti Kisiasa kuinyonga na kuitupa kapuni Katiba ya Warioba....sasa atulie awaache wenzake wafanye kazi....

huyu sita ni kinyesi cha mnyama gani?
 
Back
Top Bottom