Samwel Sitta Live on Mlimani TV

anasema wahujumu uchumi ambao walipigwa vita enzi ya mwalimu hivi sasa ndio wanaoheshimika na kupewa nafasi na hata kupata heshima kubwa zaidi, taifa limepoteza ile misingi aliyoanzisha mwalimu
 
Kwa ujumla anaponda kuwa hali ya sasa uadilifu hakuna na umeporomoka kwa kiasi kikubwa, kwa wenye access ya simu mjiandae kuuliza maswali basi mie hapa nilipo siwezi kuuliza swali wakubwa kipindi ni live sio recorded, hapa nilipo nabanwa kidogo kupiga simu mazingira sio muafaka
 
Waziri Samwel Sitta atakuwa live Mlimani TV muda mfupi kutoka sasa. Hebu wanaJF tumuulize yale maswali magumu ambayo tumekuwa tunaulizana hapa huenda atatujibu live leo

muulize kwa nini anajifanya kupiga fita usifadi wakati anamiliki kasri la losheni kazaa kule mbweni? alipata wapi mpunga wa kusimamisha mjengo kama ule?
 
Ameulizwa kuhusu CCJ anasema anashangaa, manake ana uhuru wa kikatiba wa kuamua lolote na ni kweli alifuatwa kujiunga huko akakataa...
 
hahahahhahahaha! dah! jamaa anaikataa CCJ, looh! amesahau kuwa ndo alilipia pango na samani za ofisi.
 
anasema wahujumu uchumi ambao walipigwa vita enzi ya mwalimu hivi sasa ndio wanaoheshimika na kupewa nafasi na hata kupata heshima kubwa zaidi, taifa limepoteza ile misingi aliyoanzisha mwalimu
mara nyingi huyu babu anayoyaongea huwa hamaanishi, in short ni MNAFIKI
 
Back
Top Bottom