Samwel Sitta asisitiza: Dkt. Mwakyembe kalishwa sumu, asema kuna polisi majambazi

Siwezi kuwaelewa IJP na DCI ikiwa hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi watuhumiwa wa njama za mauaji ya Mwakyembe na kundi lake. Kwani maelezo ya Dr. Mwakyembe yako wazi, naomba niwaeleze kuwa watanzania wa leo hatusahau kirahisi na hamtudanganyi ng'o!
 
wewe mtanzania au mkenya? Huwajui mafisadi

Fisadi ni mtu anayetumia cheo chake kufuja mali ya umma kwa manufaa yake au kikundi fulani ,Na sitta naye ni miongoni mwa mafisadi kwa sababi zifuatazo:
1.Kujenga ofisi ya Bunge Urambo kwa mabilion ya fedha za kodi yetu
2.Kufoji risit za matibabu
3.Kudanganya kuwa pango la nyumba ni dola 7000 kwa mwezi alikuwa anaishi .......
 
Huyo kanjanja mwingine, hakuna hata kipengele kimoja kinacho mnukuu Sitta katika uandishi wake, hayo ni maoni ya huyu tu, hawa waandishi makanjanja wanatupeleka wapi?
Kama huyu ni kanjanja wewe ni mdau wa mfumo wa kimafia unaolalmikiwa?
 
Fisadi ni mtu anayetumia cheo chake kufuja mali ya umma kwa manufaa yake au kikundi fulani ,Na sitta naye ni miongoni mwa mafisadi kwa sababi zifuatazo:
1.Kujenga ofisi ya Bunge Urambo kwa mabilion ya fedha za kodi yetu
2.Kufoji risit za matibabu
3.Kudanganya kuwa pango la nyumba ni dola 7000 kwa mwezi alikuwa anaishi .......

Unathibitisha jinsi serikali isivyo makini
 
ONLY the truth and truth alone shall set this rotten CCM government free about what is going on and around Mwakyembe's health slow down.
 
Alafu kumbe hata uchimbaji wa uranium watu washavuta zao,maana nasikia ni madini hatari sana na hayapaswi kuchimbwa kiholela,usa wanayo lakini wanaogopa kuyachimba ili kuwanusuru wananchi wao,vp sisi waswahili tumekubali kirahisi namna hii????????????,

Hii inabidi iwe thread mpya ili tuijadili kwa kina
 
sijawahi sikia lowasa akipinga mafisadi! Ila yeye anakana kuwa si fisadi


alilishutumu jeshi la polisi kutokana na tabia ya kuhujumu watu na kusisitiza kuwa tabia hizo ni za kijambazi zinazoweza kuhatarisha hali ya usalama na maisha ya watu wanaozuliwa mashitaka kama hayo yanayomkabili.

hawezi kukemea huenda huyo jamaa anahusika na hao majambazi anaowataja sita......
 
Mwenzao Satta wa Zambia alianzisha chama huwezi kupigana vita ukiwa humo na mafisadi huku ukiwa unfaidi viposho pamoja nao.....mnafiki tu. aondoke CCM! au ashiriki kwa namna yoyote ile kuia CCM maana ndiyo hasa nyumba ya mafisadi.

Kwa mtazamo wangu Samuel Sitta alifanya kazi nzuri kama spika wa bunge la 9,wabunge makini wa chadema wanakubali hlo na wanatamani angekuwepo ktk bunge hili kama spika wao.Chuki ya uongozi wa CCM dhidi yake unatosha kukueleza kuwa kazi yake ilitoa mchango mkubwa ktk kupunguza kura za CCM ktk uchaguzi wa 2010.Sitta ana uzalendo na Tanzania cyo CCM lkn anao wajibu wake kidogo kama mwanachama,ndiyo maana wenye CCM yao hawampendi hata kidogo!!Habari ya report kutotolewa kikamilifu ni suala la kawaida ktk siasa ilimradi mambo ya msingi yamejadiliwa.Hakuna nchi inayoendeshwa kwa kupublicize issue zote,jaribu kuwa karibu na kiongozi wa chama cha watanzania(CDM) utayasikia mengi usiyoyajua lkn yenye tija unajulishwa.Kama CCM haiwezi kubadilika,kauli za Sitta zitasaidia kuiua.
 
ukiona majambazi wanachapana makonde jua mali yako iko salama.

ccm wote mafisadi hakuna msafi hata mmoja.
 
Hivi hawa mafisadi wanaosemwa kila siku hawana majina? Maana kila siku tunamsikia mafisadi wanaimaliza nchi ni akina nani hao. Kufichaficha kwao kutawafanya nao waonekane kuwa nao ni mafisadi.

Nimecheka sana kuuliza nani mafisadi mbona hawatajwi majina. Unanikumbusha wimbo wa Mr. Ebbo anadai "Na huyo bise ndiyo nani?..ukiulisa mtu anasema yuko bise na mwaka nakatika, anasingisiwa tu na na rushwa hatoi" Lakini nikukumbushe kuwa majina ya hawa fisadiz mbona ilishatolewa na wengine wakatishia kwenda mahakamani kwa kuchafuliwa majina. Chakushangaza hadi leo hakuna hata mmoja ambaye amewahi kwenda kushtaki kwa kuchafuliwa jina.Go figure...
 
Ela kitu ingine bana wakuu wanaegemea mshiko ulipo sasa Dr na Sitta mkono mtupu watu wanakata pochi kwanza mjini Mwalafyale!ndo kazi iende
 
Back
Top Bottom