samwel sita na umiliki wa kampuni inayo mashine za risiti za tra

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
kuna tetesi kwamba samwel sita ndiye mumiliki wa kamuni iliyopewa tenda ya kugawa mashine za kutoa risiti kwa wafanyabiashara wa Tanzania.office za hiyo kampuni zimeweka kwenye nyumba ya africa mashariki dar es salam.mia
 
Majungu leta source.....

This is purely RUBBISH
 
Lisemwalo lipo! Na kama halipo basi laja! Tegemee mengi kwa vingunge hawa.
 
kuna tetesi kwamba samwel sita ndiye mumiliki wa kamuni iliyopewa tenda ya kugawa mashine za kutoa risiti kwa wafanyabiashara wa Tanzania.office za hiyo kampuni zimeweka kwenye nyumba ya africa mashariki dar es salam.mia

toa data sio kuleta habari kwa kutumia hiyo red
 
kuna tetesi kwamba samwel sita ndiye mumiliki wa kamuni iliyopewa tenda ya kugawa mashine za kutoa risiti kwa wafanyabiashara wa Tanzania.office za hiyo kampuni zimeweka kwenye nyumba ya africa mashariki dar es salam.mia

majungu mengine hayana mashiko, hiyo nyumba iko sehemu gani hapa Dar maana cjawahi kuickia, rudi kwa aliyekutuma mwambie akupe data sio kubwabwaja tu..
 
kuna tetesi kwamba samwel sita ndiye mumiliki wa kamuni iliyopewa tenda ya kugawa mashine za kutoa risiti kwa wafanyabiashara wa Tanzania.office za hiyo kampuni zimeweka kwenye nyumba ya africa mashariki dar es salam.mia

Mkuu wa nchi juzi akiwa Morogoro alisema wazi wazi bila kigugumizi kuwa azimio la arusha limefutwa na azimio la zanzibar kwa hiyo watumishi/viongozi wameruhusiwa kufanya biashara ikiwa ni pamoja na kumiliki makampuni na majumba ya kupangisha mradi waeleze wamepataje mali zao. Kwa hiyo kwa magamba kama mzee 6 anamiliki kampuni hiyo ya mashine za kutoa risiti na anamuuzia muajiri wake serikali basi ni ruksa. Kashangaeni feri
 
Back
Top Bottom