Samwel Eto na Didier Drogba nani mkali ?

Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
27,519
34,821
Kama kichwa cha habari kilivyo hebu wadau wa soka fungukeni kuhusu miamba hao hapo juu na mchango wao kwenye soka la Africa na huko ulaya
 
Asee Etoo anatisha hata Herritier Makambo na Kagere wajipange kwa huyo jamaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom