Proved JF-Expert Member Sep 10, 2018 27,540 34,864 Mar 14, 2019 #1 Kama kichwa cha habari kilivyo hebu wadau wa soka fungukeni kuhusu miamba hao hapo juu na mchango wao kwenye soka la Africa na huko ulaya
Kama kichwa cha habari kilivyo hebu wadau wa soka fungukeni kuhusu miamba hao hapo juu na mchango wao kwenye soka la Africa na huko ulaya
Vitalis Msungwite JF-Expert Member May 11, 2014 3,270 7,769 Mar 14, 2019 #2 Samatta ndo balaa Barafu la moto
BOB OS JF-Expert Member Dec 11, 2011 3,427 6,786 Mar 14, 2019 #3 Drogba nikikumbuka ile fainali chelsea na bayern,,,, drogba ni Legend usimfananishe na vitu vya kijinga..
Drogba nikikumbuka ile fainali chelsea na bayern,,,, drogba ni Legend usimfananishe na vitu vya kijinga..
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,755 Mar 14, 2019 #6 Dah best yangu Etoo siyo wa kufananisha na mvaa wigi.
Alvajumaa JF-Expert Member Jul 5, 2018 4,953 6,071 Mar 14, 2019 #7 Achana kabisa na Etoo akiwa katika ubora wake Pale Ronadinho huku Etoo, nyuma kidgo kuna Deco Deuza hatarii sana Sent using Jamii Forums mobile app
Achana kabisa na Etoo akiwa katika ubora wake Pale Ronadinho huku Etoo, nyuma kidgo kuna Deco Deuza hatarii sana Sent using Jamii Forums mobile app
choza choza JF-Expert Member Jan 17, 2019 1,644 2,981 Mar 14, 2019 #8 Samuel Etoo Sent using Jamii Forums mobile app
logframe JF-Expert Member Aug 19, 2014 4,240 5,533 Mar 14, 2019 #9 Mpaka sasa Eto'o hana mpinzani. Sent using Jamii Forums mobile app
magnifico JF-Expert Member Jan 14, 2013 7,419 13,151 Mar 14, 2019 #13 BOB OS said: Drogba nikikumbuka ile fainali chelsea na bayern,,,, drogba ni Legend usimfananishe na vitu vya kijinga.. Click to expand... Hizo fainali unazoongelea Etoo kapiga zaidi ya tatu...
BOB OS said: Drogba nikikumbuka ile fainali chelsea na bayern,,,, drogba ni Legend usimfananishe na vitu vya kijinga.. Click to expand... Hizo fainali unazoongelea Etoo kapiga zaidi ya tatu...
magnifico JF-Expert Member Jan 14, 2013 7,419 13,151 Mar 14, 2019 #14 Asee Etoo anatisha hata Herritier Makambo na Kagere wajipange kwa huyo jamaa.
Mtoto wa nzi JF-Expert Member Jun 6, 2012 9,008 16,135 Mar 14, 2019 #15 Mkali Mbwa ,Simba ,Chui, Duma
moj6 JF-Expert Member Nov 2, 2017 3,366 4,970 Mar 14, 2019 #16 Japo mi ni mshabiki wa Chelsea but eto' nomaa Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard CFC JF-Expert Member Apr 7, 2015 16,615 38,589 Mar 14, 2019 #17 Yaya toure Sent using Jamii Forums mobile app
magagafu JF-Expert Member Jan 31, 2016 1,196 1,307 Mar 14, 2019 #19 Tuache ushabiki etoo alikua bora Sent using Jamii Forums mobile app
magagafu JF-Expert Member Jan 31, 2016 1,196 1,307 Mar 14, 2019 #20 Drogba namkubali ni mpambanaji...lakin etoo alikua balaa.. Sent using Jamii Forums mobile app