Samuel Eto'o Headbutt On Chievo's Cesar (Zidane Style)

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,470
1,225
Hehehehe ama kwelim tembo akisifiwa.........Huyu Etoo soka limemuendea kombo kidogo tu anaamua kuwa Zidane kwa kumpiga mchezaji wa Chievo kwa kichwa last weekend walipochapwa 2-1, Binafsi i was never impressed by Rafa and i am pretty sure he is tha man accountable by the Liverpool performance in recent years and who knows Inter itakuwa bomu sana chini yake....

 
Last edited by a moderator:

Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,265
1,250
Hehehehe ama kwelim tembo akisifiwa.........Huyu Etoo soka limemuendea kombo kidogo tu anaamua kuwa Zidane kwa kumpiga mchezaji wa Chievo kwa kichwa last weekend walipochapwa 2-1, Binafsi i was never impressed by Rafa and i am pretty sure he is tha man accountable by the Liverpool performance in recent years and who knows Inter itakuwa bomu sana chini yake....hicho ndicho kilitarajiwa, etoo amevumilia sana ubaguzi spain na sasa umemkuta, bora spain wachezaji walimuheshimu lakini Italy atajuta, kumbuka enzi za martins& kallon wakiwa intermillan, watu walikuwa wanabeba mabango uwanjani wakisistiza kuwa hafai japo alikuwa balaa, sasa etoo cjui, ila soka dogo bado yuko fiti hajachuja hata kiidogo kaka
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom