samsung zauzwa kama karanga

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,850
803
napenda sana simu za samsung galaxy ingawa uwezo wa kununua sina,gharama kubwa sana tunaishia kwa mkombozi wa wanyonge tecno,huwa naishia kusoma specification zake na kuzikubali sana,kinachonisikitisha mfano hapa mwanza unakuta samsung zimezagaa tangu ktk maduka makubwa hadi kwa wamachinga pale jirani na mwanza hotel. kibaya zaidi unashindwa kutofautisha ipi simu halali au ipi feki maana usipokuwa makini unaibiwa.wanajf nitatofautishaje hii michina na original?
 
Bei ni kielelezo tosha. Samsung Galaxy original siyo chini ya dollar 400. Kupitia mtandao linganisha IMEI namba ya simu na IMEI zilokuwemo kwenye database ya samsung.
 
Bei ni kielelezo tosha. Samsung Galaxy original siyo chini ya dollar 400. Kupitia mtandao linganisha IMEI namba ya simu na IMEI zilokuwemo kwenye database ya samsung.

sawa lakini nilijaribu kuuliza bei ya simu mojawapo chinga akaomba laki7!!!! na unajua wamachinga hatuwaamini kabisaaaaa.kitu cha laki 1 kwake unaweza kukinunua zaidi ya laki 2
 
Back
Top Bottom