Samsung wasipoiga design ya iphone 12 basi apple wamepunguza wafuasi

Simu gani mkuu
Angalia picha, kuanzia ya 1 hadi ya 5 zina performance nzuri kuliko s20 zote. Msimamo unaweza badilika kulingana na matoleo mapya yatakayo toka.
Screenshot_2020-10-20-01-34-51-530_com.antutu.ABenchMark.jpg
 
Ios imetengenezwa kabla ya Android utasemaje ni big deal kaikataa Android? Enzi hizo Karibia Kila kampuni ilikuwa na Os yake.

Na hapo huja refute idea kwamba wanacopy.

Ingia website ya Ifixit kisha tafuta teardown yoyote ya iphone uone wanapotoa vifaa vyao. Hawa jamaa most of time wananunua tu vifaa kwa wengine na kupachika pamoja na kutoa simu. Wakiona tech nzuri wanacopy

Na Ole wako wagundue unacopy kitu chao, watajitutumua dunia nzima wajue.

Wameishtaki kampuni ndogo ya viungo vya kula yenye wafanyakazi watano tu kuwa logo yao inafanana na yao
1597251574-apple.jpg

 
mleta uzi umepuyanga...
.
hao Apple ndo mabingwa wa kuiga miundo ya sim za wengine mfano mkubwa ni macho matatu waliiga kuoka kwa huawei mate 20 pro, ukiangalia mate 20pro imetoka 2018 afu iphone 11 imetok 2019.
.
pia kwa ishu ya tyle wa kioo waliga kwa huawei p20 bro. fanya uchunguzi kbla ya kuleta uzi...
Hapa umetutendea haki sie wanazi wa Huawei.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Hivi mkuu hata umewahi kushika side to side flagship ya samsung na Apple? Even simu za zamani kama s6 ama Note 5 zina Display kali sana kurival iphone za sasa.

Naweza kutumia s8 na Vr box 2020 nikaona movie ama 3d movies ama 360 video kwa quality nzuri tu ila display pixelated za iphone haziwezi.
chief kiukwel waga unaniuzi kuwaelimisha hawa mbuzi maana unachoma calories nyingi mnooo kutoa darasa na Isheep wanavichwa vigumu kuelewa Ata uweke ushaidi bado wanabisha waache ma slay queen wazee wa showoff wasiojua lolote waendelea kutamba uwanja ni wao mkuu
 
chief kiukwel waga unaniuzi kuwaelimisha hawa mbuzi maana unachoma calories nyingi mnooo kutoa darasa na Isheep wanavichwa vigumu kuelewa Ata uweke ushaidi bado wanabisha waache ma slay queen wazee wa showoff wasiojua lolote waendelea kutamba uwanja ni wao mkuu

mimi mwenyewe natumia iphone.

ila mnaniumiza sana mnapotujumuisha wote na baadhi ya wanazi wa apple
 
Back
Top Bottom