Samsung wajifunze kwa Apple

1. Apple anafanya research ya kutumia Quatum dot katika vifaa vyake vinavyokuja na Quantum dot ni future ya vioo badala ya Oled naomba simu ama macbook ya Apple ikitoka uje uiponde no double standard please.

2. Sababu Qled ya Samsung haijafikia viwango halisi vya Qled haimaanishi eti ni technology inferior. Hii inakuwa na hizi ni sifa za Qled pindi itakapokamilika
-ni nzuri kwa vifaa flexible kuliko Oled
-ni self emitting kama oled
-ina brightness kubwa kushinda oled
-ni durable zaidi na haina screen burn in

Na hizo Qled za sasa sio LCD ni LED zinatotumia LCD backlight sio self emiting na sio inferior kila idara kwa oled kuna maeneo oled ipo vizuri na kuna maeneo Qled ipo vizuri.
Angalia huu uzi digitaltrend
QLED and OLED may have similar names, but they're totally different technologies

Hapo utaona vitu kama durability, brightness, size, accessibility Qled ipo juu zaidi,na ikigain tu self emmiting dots Qled inakuwa superior. By 2020 Qled itakuwa on top of Oled.
Sasa unaongelea kitu ambacho kipo kwenye re-search? hio Qled na self emitting bado inafanyiwa re-search,usifikiri OLED imesimama kipindi QLED inaendelea, na ukae ukijua QLED na OLED over all winner ni OLED japo zitatofautiana baadhi ya vitu.

QLED sio LED inayotumia LCD backlight,utofauti wa LCD na QLED ni layer moja tu au color filter ambayo inaitwa phosphorus gas ilitolewa na kuwekwa hizo Quantum dots, walifanya hivyo baada LCD kuwa na perfomance mbaya hasa kwenye rangi kama vile rangi nyeusi.
Ukisema hivyo unamaanisha LCD ipo nyuma ya QLED kitu ambacho si kweli,kwani backlight ndio ya kwanza toka nyuma toka kwenye LEDS na inafuatia layer yenye(gas ya phosphorus) ambayo huwa inatoa bright light na ilitolewa wakaweka Quantum Dots kwa hio bado Quantum dots zinatumia backlight na mbele yake kuna LCD kama kawaida,hivyo hizo screen bado zina LCD.
Quantum dots zimetumika ku improve color tu.

QLED ina dots hizo ndogo sana (zero dimensional) na zinatumia umeme(energy) pia zina tumia energy level tofauti na zina ukubwa tofauti,sifa hizo zinapelekea kutoa rangi tofauti pindi zinapopata energy zenye level tofauti, mfano kiasi fulani cha energy kinaweza kupelekea dots za blue ziwake na red na green zizime and vice versa.
Hivyo kupelekea improvement ya rangi.
additional_0.jpg
 
Hivi ni simu ipi inaikuta perfomance iphone Xs Max... maana note 9 imepigwa gap hadi nimecheka... Iphone wana balaa
 
piteni youtube muangalie speed test ya note 9 vs iphone Xs Max ni balaa....
 
Back
Top Bottom