Samsung S21s Official Released This evening

Rafiki kwa yenye GB 128 bei kwa kununua online ni dola 1,199.99 ambayo ni sawa na TZS 2,783,101.20 hivi
0312080.jpg
😀😀 acha hizo mkuu sema bei, huwezi jua naweza kununua 3 cash.
 
Hiyo simu ya Samsung 21s inanipa faida gani. Faida ya simu ni kupiga, kupokea, whatsapp, instagram na kuandika message thats all. Nini tena cha zaidi ya kutumia gharama eti kununua samsung 21s ya nini?.
Faida ya gari ni kukutoa point A to point B, lakini kusafiri na passo ni tofauti na kusafiri na range rover hata kama mnatokea point moja kwenda point moja. Ni sawa na simu tu.
 
Hiyo simu ya Samsung 21s inanipa faida gani. Faida ya simu ni kupiga, kupokea, whatsapp, instagram na kuandika message thats all. Nini tena cha zaidi ya kutumia gharama eti kununua samsung 21s ya nini?.
Mkuu Hizi Kauli hua tunatoaga tuu kujifariji, lakini ukweli zinaongozwa na mambo mawili tuu, either UBAHILI au NJAA.

Ukitaka ujua ni kipi kinakutesa.....
Hata ukiwekewa mezani hapo kam zawadi kati ya hio simu unayosema ilimradi, let's say inauzawa 200,000 tsh na Hii S21 ultra ya 3,000,000tsh.
Hili hata ubishe hapa Ila Utaamka na S21 Ultra,

Sasa baada ya hapo, kubaki nayo au kutobaki nayo ndio utajua nini kinakutesa..

UKIIUZA,
Wewe kinachokutesa ni njaa.....

UKIBAKI NAYO,
Wewe kilichokua kinakutesa ni Ubahili. .

Hakuna asiyependa kizuri Dunia hii, Na jicho hua halidanganyi, litachagua kizuri, halafu Nafsi nayo ita tamani.
Sasa Hali yako ndio itaamua, Utendee haki ya kile jicho na moyo umependa, Au kusaliti jicho na Moyo Halafu Utoe kauli kama hizi..

Kuna mwingine hata kutumia hio ya 200k kwake hawezi, wewe hapo umesema simu iweze kupiga, ku sms, INSTAGRAM na WHATSAPP baasi.
Yeye atakuja kujifariji nae kwa kukuona na wa ajubu, atasema simu ya laki 2 ni ya nini?
Yeye atasema simu ni kupiga na msg....
 
Hiyo simu ya Samsung 21s inanipa faida gani. Faida ya simu ni kupiga, kupokea, whatsapp, instagram na kuandika message thats all. Nini tena cha zaidi ya kutumia gharama eti kununua samsung 21s ya nini?.
Kujifariji kama hivi nako siyo mbaya

Usijali kiongozi ni vile tu hatuna uwezo tukiwa na uwezo na sisi tutazinunua tu na hatutaongea tena maneno kama haya tuseme amen
 
Back
Top Bottom