Samsung S21 zimefeli sokoni kuliko S20 na S10

Miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
288
502
Ni kama vile kampuni ya Samsung inaenda kushindwa kwenye upande WA high end phones.

Toleo la galax S21 limefanya vibaya sana kipindi kwani simu milioni 54 walizouza Kwa mwaka huu nyingi ni zile za A-Series.

S21 imeuza simu pungufu kulinganisha na S20 na S10.
Kwenye midrange kuna ushindani WA Xiaomi anaezidi kushika hatamu na sasa ni namba mbili duniani Kwa mauzo ya simu.

Update.
Xiaomi iliongoza Kwa mauzo duniani mwezi Juni
 
Samsung hiyo 21 yao ni bomu kabisa nliiona yaani muonekano mbovu camera sikuielewa kabisa alafu milioni mbili na nusu sijui duuh
 
Kwanza mkuu hazijafeli Bali zimeuza kidogo kuliko series za nyuma, unit milioni 13 si ndogo kwa miezi 6,

ukiangalia mapato ya Samsung ya simu Revenue na faida ni kubwa kuliko miaka iliopita.

Kuna kipindi tulikuwa tuna discuss humu kwanini LG hayupo tena sokoni, Angalia Apple na Samsung sasa hivi wanafocus Sana kwenye Budget flagship/premium Midrange. Bei za A series sasa hivi ni kubwa sana, kuna A series zina bei kuliko bei za Flagship za zamani.
 
IMG_5829.jpg
 
Wenzenu wanaangalia faida,ikipatikana basi wanajiandaa na mambo mengine ya mwakani.

Iphone 12 min nayo haijapokelewa vizuri sokoni,lakini 12,12 pro zinaziba gape kwa kuuzika vyema.
 
Kwanini Samsung wameanza kukomaa na processor za Mediatek?

Hili suala niliwaambia humu ila kama kawaida yao Kina Mkwawa na wenzake kwa kutumia ushabiki wakabisha vibaya mno. Reality hits now ukweli unajulikana
Unaweza ku post faida na revenue ya Samsung compare na 2020 na 2019 muda kama huu?
 
Issue siyo samsung co. Issue ni s21 series niliwaambia hazina ushindani mbele ya iphone flagship . Mambo ya faida ni mada nyingine tu unakwepa kwepa mkuu hata huko kwenye faida apple anampiga samsung pakubwa . Angalia post yako na yangu hapa chini mpakaView attachment 1882877
Ukaniita mzushi ila i knew what i was talkingmkuu . Soko limeamua View attachment 1882879
Haijawahi flagship ya Samsung kuuza kuliko Apple, hii ni common knowledge, na S21 mpaka hio Tarehe naandika Hio comment s21 ilikua imeuza zaidi since s8 (iliuza zaidi ya s20, s10 na s9 series) na link niliprovide.

Na in no way Kuuza simu milioni 13 zenye thamani karibia Dola 1000 ikawa ni Failure. Hio ni revenue around 10B usd.
 
Issue siyo samsung co. Issue ni s21 series niliwaambia hazina ushindani mbele ya iphone flagship . Mambo ya faida ni mada nyingine tu unakwepa kwepa mkuu hata huko kwenye faida apple anampiga samsung pakubwa . Angalia post yako na yangu hapa chini mpakaView attachment 1882877
Ukaniita mzushi ila i knew what i was talkingmkuu . Soko limeamua View attachment 1882879
Kwani flagship ipi ya samsung imewahi kuuzika zaidi ya zile za apple??

Apple anatoa simu moja tu sokoni unategemea nini??
Samsung unajua kwa mwaka huu peke yake katoa simu ngapi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom