NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 592
- 701
Nimeletewa samsung J3 pro kutoka China.
Sasa shida yake battery inajizima bila kufika 0%. Wala haifiki kwenye 15% kuonesha battery low.
.
Naweza kutumia kutoka 100% halafu ikazima kwenye 35%.. yaani haioneshi alerts za battery Low.
.
Wataalamu naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app