Samsung Introduces UFS-Based Memory Cards with Up to 256GB Capacity

lameck laedo

Senior Member
May 15, 2016
174
76
Samsung’s embedded storage solutions really worked, and Samsung now wishes to share it with the rest of the world. Samsung Electronics has unveiled removable memory cards based on Universal Flash Storage 1.0 standard. The memory cards are available in a range of storage capacities, including 32, 64, 128 and 256 GB of storage.

These UFS cards bring the focus squarely on performance as they are focused on being part of devices with the need for (storage) speed such as high-res 3D gaming, and high-res movie playback. The claims made for these UFS cards include sequential read speeds of upto 530 MB/s, which is similar to the current crop of widely used SATA SSDs and five times faster than the typical 95 MBs/s sequential read of UHS-1 microSD cards. Sequential write speeds are claimed at 170 MB/s, almost double that of top microSD cards.

Note the pin arrangement, which is different from your microSD’s

So what next from here? Pricing and availability of these UFS cards have not been mentioned in the press release, and there is no mention of compatibility although documentation for that is being worked on. What this does mean is that we will see increased adoption of UFS based solutions in the high-end multimedia market at least, as it seeks to replace microSD cards in situations where speed of the card was the bottleneck, like in high-end DSLRs. Eventually, these will trickle down to smartphones as well, so all we can hope for is that they are competitively priced when they do.
 
Attachments

  • UFS-cards-Samsung.jpg
    UFS-cards-Samsung.jpg
    11.7 KB · Views: 53
  • compatible.png
    compatible.png
    25.8 KB · Views: 48
Ngoja mchina atuletee 500 GB.
hizi memory card sio kwamba eti zina gb nyingi ndio maana kila sehemu zinazungumziwa, bali zinazungumziwa sana sababu zina speed kubwa. ukumbuke simu za samsung kali kama s6 na s7 internal memory zake zina speed sana na hutumia hii technology ya UFS.

hivyo ukichukua hizi memory card ukaeka kwenye kisimu chako cha bei rahisi halafu ukaeka apps kwenye memory card ujue simu yako nayo itakuwa na speed sana hasa wa kati wa kulaunch hizo apps na kuload.

by the way zipo memory card za terabyte 2 (ukubwa mara nane ya hio 256gb) miaka mingi tu.
 
kaka tulia hapo hapo kwanza. naweza kuchukua hiyo memory card attached na UFS sijui ya GB 256 nikaiweka katika simu yangu let's say Huawei Y series?
 
hio ni memory card kama memory card ya kawaida sema tu ina speed sana kutokana na namna ilivyotengenezwa, ndio unaweza ukaeka kwenye huawei yako sema tu nna wasiwasi na bei yake, sitashangaa ikiuzwa malaki ya hela

update
nimecheki picha hizo pin zake huwezi tumia kawaida, labda watoe adapter
 
Mkuu unalizungumziaje na swala la kikomo cha uwezo wa simu kusoma memory card???

Mfano mdau katolea huawei,let say
Y 500.ina uwezo wa kusoma hata 128gb kweli kama zinavyoanishwaga-external memory up to..........
 
zipo technology kubwa tatu za memory card.

-micro sd (mpaka 2gb)
-micro sdhc (mpaka 32gb)
-micro sdxc (mpaka 2tb)

hivyo itategemea simu yako inasuport ipi. hio micro sd ilikuwa ikitumika zamani sana hata kabla ya smartphone hazijaja.

ukiona simu kwenye specs imeandikwa sd card up to 32gb ujue kuna uwezekano mkubwa ukieka 64gb isifanye kazi.

ila ukiona imeandikwa sd card up to 64gb kuna uwezekano mkubwa ya 128gb na kuendelea zikafanya kazi.

cha muhimu angalia tu specs
 
arrangement ya contact pins ni tofauti sana. obvious haiafaa kutumika kwenye simu za kawaida zinazotumia micro Sd. So tutengemee pia kuona simu zitakazosapoti hii kitu
 
Samsung’s embedded storage solutions really worked, and Samsung now wishes to share it with the rest of the world. Samsung Electronics has unveiled removable memory cards based on Universal Flash Storage 1.0 standard. The memory cards are available in a range of storage capacities, including 32, 64, 128 and 256 GB of storage.

These UFS cards bring the focus squarely on performance as they are focused on being part of devices with the need for (storage) speed such as high-res 3D gaming, and high-res movie playback. The claims made for these UFS cards include sequential read speeds of upto 530 MB/s, which is similar to the current crop of widely used SATA SSDs and five times faster than the typical 95 MBs/s sequential read of UHS-1 microSD cards. Sequential write speeds are claimed at 170 MB/s, almost double that of top microSD cards.

Note the pin arrangement, which is different from your microSD’s

So what next from here? Pricing and availability of these UFS cards have not been mentioned in the press release, and there is no mention of compatibility although documentation for that is being worked on. What this does mean is that we will see increased adoption of UFS based solutions in the high-end multimedia market at least, as it seeks to replace microSD cards in situations where speed of the card was the bottleneck, like in high-end DSLRs. Eventually, these will trickle down to smartphones as well, so all we can hope for is that they are competitively priced when they do.
Kali!!!
 
Back
Top Bottom