samsung GT-S7500

Bee hive

Senior Member
Feb 22, 2012
146
54
nimekuwa nikitumia hii simu kwa muda kidogo kwa kutumia line ya voda. Ila inapokuja kwenye matumizi ya mpesa, mara kadhaa haswa napotakiwa kutumia pin inaniambia nimekosea kuweka tarakimu wakati nipo sawa. Naomba kujuzwa hilo tatizo lina tiba au kwa aina hii ya simu hakuna tiba?
 
jaribu kuwa unabadilisha kwenda kwenye namba bila ya kuisubiri ibadili yenyewe..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom