Officer2009
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 560
- 110
Ni ipi simu nzuri zaidi in terms of performance kati ya hizo simu mbili hapo juu. Vipi kuhusu bei?
phantom a plus itakuwa ni kiboko. ngoja waje wataalamu watapembua kwa kina
Tecno buy at your own risk
Phantom A+,Imetumika wiki moja
Nyeusi.... Iko full boxed all accessories including power bank and its orijinal Case and one year warranty
Going for 370k
PM or call 0652574408