Samsung galaxy tab 3

Abdul Bilal

Member
Jul 29, 2017
88
15
Ebana nina hii tab 3 ambayo nilikuwa natumia ila kutokana na tatizo lake hili nimeamua kuiweka kabatini.
Ni kwamba unaiwasha inawaka saaafi, ila ikashakaa tayari basi haipiti dakika ina restart tena.
Any solution wataalamu.
Maana kuna hawa mafundi wa kiajemi huku nimewapelekea sijui wanasema ac i ekufa so mpaka nibadili, ila wanasema haina uhakika coz unaweza badili after muda ikabuma tena.
So naogopa kucheza kamari kwa kumpa fundi pesa ya bure.
 
If that the case
Ungetueleza mambo yote uliyofanya kupata solution ili tukutajie kile ambacho ungeweza kufanya.
Kwanza nili reset mwenyewe ila haikufaa.
Kisha nikapeleka kwa fundi akaflash ila it was in vein
That is
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom