Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,529
- 12,366
Habari za asubuhi wakuu!
ninahitaji msaada wa ku update aidha firmware ya tablet yangu au android kutoka 3.2 ya sasa hadi 4 hivi ili niweze ku install whatsapp na niweze pia kupata access ya kupiga simu kwenye tablet hiyo. (nimeeleza ku upgrade firmware au android kwa sababu sijui exactly nini kinatakiwa kufanyika)
Nimeeleza kama leyman nisiye na utalaam kwenye mambo hayo lkn nategemea watalaam watakuwa wamenielewa.
Aina ya tablet ni samsung galaxy tab 2.
Nipo Dsm ntashukuru kama ntapata msaada wa kufanya hivyo vitu kama nilivyoeleza hapo juu.
cc CHIEF MKWAWA, @njuwa mavoko, Kelvin power na wale mabingwa wote wa hizi mambo plz assist.

Last edited by a moderator: