Samsung galaxy tab 2 - Msaada

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,527
12,365
Habari za asubuhi wakuu!
ninahitaji msaada wa ku update aidha firmware ya tablet yangu au android kutoka 3.2 ya sasa hadi 4 hivi ili niweze ku install whatsapp na niweze pia kupata access ya kupiga simu kwenye tablet hiyo. (nimeeleza ku upgrade firmware au android kwa sababu sijui exactly nini kinatakiwa kufanyika)

Nimeeleza kama leyman nisiye na utalaam kwenye mambo hayo lkn nategemea watalaam watakuwa wamenielewa.

Aina ya tablet ni samsung galaxy tab 2.

Nipo Dsm ntashukuru kama ntapata msaada wa kufanya hivyo vitu kama nilivyoeleza hapo juu.

cc CHIEF MKWAWA, @njuwa mavoko, Kelvin power na wale mabingwa wote wa hizi mambo plz assist.
 
Last edited by a moderator:
Ingia settings kisha cheki for software updates ukiwa katika eneo lenye wireless, hii itakusaidia kujua kama samsung wenyewe wamerelease update yake. Kama hamna basi endelea kufutilia android nuuz mbali mbali ili ujue update lini watarelease. Kama ipo scheduled to receive updates itakubali kudownload new firmware automatically. Mbali na hapo waweza ku iroot device yako, ila pia kuna athari pale utapo install incompatible custom rom. Kwa njia rahisi jaribu kudownload ki software kinaitwa one click root af fuata maelekezo hapo.
 
ww acha kumzungush mwenzio nenda kweny pc yk au laptop ikisha ingia kingoroot.com alaf utaidonload iyo kingooroot kupitia tovoti iyo apo juu alaf utafata maelekez jinsi inavyo tumiwa ni very simpo alaf download unstall app proo kweny play store yk ila ina uzwa utajua jinsi y kupata iyo app inauwezo wa kufuta app yoyote ilokuj na cm mfano message camera setting yan kitu chochote sas ww utafuta ile seemu ya kupiga itakua imekwusha kazi yk ke
kumbuk lazim sim yk iwe ushai root kupitia (superuser ) na kuhusu apdate iyo nikes nyengine
 
Kwa kua umeonyesha huna utaalam wowote kabisa kwenye haya mambo, ni vema ukafanyiwa na mtu, ningekwambia ufanye mwenyewe ila kwa mtu ambaye hata google hukujua ilipo ukaja jamii forums ukielekezwa hutoelewa jinsi ya kufanya, afu kwa kua hamna update ya kawaida hadi uinstall custom ROM ambayo inahitaji rooting then installation process hiyo ina risks kama kufail na tablet yako kugoka kuwaka, ikitokea hilo utahitaji ku-restore, process zote hizo kuelekezana humu na exxperience yak tutatumia masaa... tafuta tu wataalamu face to face wakusaidie wako wengi wenye uwezo wa hili wiku hizi..
 
ww acha kumzungush mwenzio nenda kweny pc yk au laptop ikisha ingia kingoroot.com alaf utaidonload iyo kingooroot kupitia tovoti iyo apo juu alaf utafata maelekez jinsi inavyo tumiwa ni very simpo alaf download unstall app proo kweny play store yk ila ina uzwa utajua jinsi y kupata iyo app inauwezo wa kufuta app yoyote ilokuj na cm mfano message camera setting yan kitu chochote sas ww utafuta ile seemu ya kupiga itakua imekwusha kazi yk ke
kumbuk lazim sim yk iwe ushai root kupitia (superuser ) na kuhusu apdate iyo nikes nyengine

Sijakuelewa unazungumzia nn mkuu
 
Asanteni Wustenfuchs, jamal jack, Dreson4
lkn kwa yeyote aliye dar kati yenu naomba nikishindwa niwatafute physically ku settle hili tatizo maana nyote mnaonekana na ujuzi kwenye hili.

asanteni sana!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom