Samsung Galaxy S4 (clone) nauza kwa laki 3

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,689
39,755
kwa wale wanaohitaji samsung galaxy s4 clone zinapatikana kwa bei tajwa zipo kwenye box na ni mpya.

zipo rangi nyeupe na very dark blue kama nyeusi

IMG_20131206_WA0007.jpg

IMG_20131206_WA0005.jpg

brief specs
zinatumia mediatek 1.3ghz dual core
ram 1gb
kioo inch 5

kwenye box utakuta earphone, charger inayotumia usb cable na usb cable yenyewe.

zinatumia line 1 na line yenyewe ni ya kukata.

contact 0715696962
 
mh kweli mjini shule s4 clone kwa laki 3? hii inaitwa kamata fursa twendezetu

wazee simu hizo kiukweli mi nimetumia sana hizi clone hazina shida zinachapa mzigo kama kawa
 
kwa wale wanaohitaji samsung galaxy s4 clone zinapatikana kwa bei tajwa zipo kwenye box na ni mpya.

zipo rangi nyeupe na very dark blue kama nyeusi

IMG_20131206_WA0007.jpg

IMG_20131206_WA0005.jpg

brief specs
zinatumia mediatek 1.3ghz dual core
ram 1gb
kioo inch 5

kwenye box utakuta earphone, charger inayotumia usb cable na usb cable yenyewe.

zinatumia line 1 na line yenyewe ni ya kukata.

contact 0715696962
Mkuu samahani, hizo clone ni mini au?? afu internal memory yake ni ngapi? na pia feature zote za kwenye s4 zinapatikana mfano air gastures?
 
Mkuu samahani, hizo clone ni mini au?? afu internal memory yake ni ngapi? na pia feature zote za kwenye s4 zinapatikana mfano air gastures?

internal ni 16gb na sio mini ni full 5inch kama s4 yenyewe.

features za s4 zipo kaka air gesture zipo unatumia bila kugusa kioo
 
Kaka Mkwawa, shukrani kwa tangazo na bei fair.. Simu unayouza wewe kama nina pesa nainunua.. Naukubali mchango wako hapa jf hasa kwenye maswala ya simu!
 
Dah, haya mambo yanakuja kipindi ambacho sina ela. Mpaka mwisho wa mwaka utakuwa nazo?
 
Dah, haya mambo yanakuja kipindi ambacho sina ela. Mpaka mwisho wa mwaka utakuwa nazo?

Wewe ndio mimi mkuu. Roho imeniuma nilipoliona tangazo hafu ukichukulia muuzaji uhakika. Dah.
 
kwa wale wanaohitaji samsung galaxy s4 clone zinapatikana kwa bei tajwa zipo kwenye box na ni mpya. zipo rangi nyeupe na very dark blue kama nyeusi
IMG_20131206_WA0007.jpg
IMG_20131206_WA0005.jpg
brief specs zinatumia mediatek 1.3ghz dual core ram 1gb kioo inch 5 kwenye box utakuta earphone, charger inayotumia usb cable na usb cable yenyewe. zinatumia line 1 na line yenyewe ni ya kukata. contact 0715696962
Mkuuu, mimi nahitaj samsung galax s3 , unafanya beigani kama unazo
 
kwa wale wanaohitaji samsung galaxy s4 clone zinapatikana kwa bei tajwa zipo kwenye box na ni mpya.

zipo rangi nyeupe na very dark blue kama nyeusi

IMG_20131206_WA0007.jpg

IMG_20131206_WA0005.jpg

brief specs
zinatumia mediatek 1.3ghz dual core
ram 1gb
kioo inch 5

kwenye box utakuta earphone, charger inayotumia usb cable na usb cable yenyewe.

zinatumia line 1 na line yenyewe ni ya kukata.

contact 0715696962

nina imani na chief wakihehe,,,
 
Watoto wa mjini walinishikisha kwa laki nne.

Hahaha, kawaida kaka wala haujashikwa! Hizi clone high quality wakati zinaingia zilikuwa laki 6!!! Jamaa mmoja huwa anaenda Korea alininyima kwa laki 5 cash, nikaja kuikamata kwa laki250 brand new, sikukaa nayo hata mwezi nikabadlishana na mtu akanipa iPhone 5 nikamwongezea laki 2!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom