Samsung galaxy s3 min !!!!!

MWAMUNU

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
856
494
Wadau heshima mbele !!
Moja kwa moja nadondokea kwenye mada,kwa kifupi nna haka ka Galaxy s3 mini tatizo ni kwamba kananizingua
siioni sehemu ku change network mfano 3G, EDGE, nk.Yaani imeng'ang'ana kwenye edge tu internet iko very slow.
Haya wajuzi tupieni maujanja haraka.
 
Hiyo simu ni fake... haina hata sehemu ya motion kwenye setting ukiangalia... umeingizwa mjini ndugu.. hizi simu zinauzwa laki mbili mtaani mpak laki
 
Nahisi hujaelewa mada,mimi sijaomba msaada wa kujua kama simu ni feki au original !!
Na kwa taarifa yako katika vitu ambavyo siwezi kuuziwa feki basi ni simu,kama huna cha kuchangia pita tu !!
Ngoja nimsubiri chief mkwawa aje.
 
Kama ulijua chief ndo atakusaidia ungemtafuta huko private. .... umeingizwa mjini wewe sema hutaki kuonekana mshamba..... Simu hizo nazijua zinauzwa mia mia mtaani na watu wanashikwa mapembe ka wewe..

Kama wewe ni mtumiaji wa android utajua sehemu za kubadili network mode hiyo yako haina sehemu ya network mode..... its a copy u have to understand that
 
Nenda settings/wireless&network/mobile network..then kweny network type chagua WDCMA..ikizingua nenda Service providers afu chagua voda 3g au kama ni airtel 3g...ikigoma kabisa basi eneo iliopo ama 3g ya huo mtandao husika
 
Nashukuru kwa ufafanuzi kwamba nimeshikishwa mapembe,
Ila kwa taarifa tu nimeshaifanyia Reset na kila kitu kinaenda sawa,siku nyingine uwe unachangia kwa staha sio unakurupuka
kusema mtu kaingizwa mjini ilhali hata simu yenyewe huioni nijuavyo mimi ingekuwa feki isingeweza ku support SAMSUNG KIES !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom