Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,786
- 13,559
Kweli kabisa mkuu.Sema nahitaji kutoa ujinga kwa kufahamu hizo mamboWenyewe ndo mnauliza hapa...
Katika maelezo tukiziweka Tecno na Infinix pale zinapostahili, mtaanza kulalamika!!!
Si unajua ukisema mara ni "low end" au sijui "budget phones" inakuwa ngumu kwa wengine kuelewa lakini ukisema "cheaper phones"... chapchap mwenye nayo anajua pahala lake!! Na hapo ndipo nongwa inaanza...
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app