Samsung galaxy pocket kwaa laki 1.2 (na kila kitu)

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
591
Habari wadau,
nina samsung galaxy pocket( 6months used)
-its in excellent condition,,((no scratch))---ipo ndani ya cover since imetoka kwenye box na screen protector
-unapata na new 4gb memory card
-internal 4gb, 3g internet
bei 120,000 fixed
karibunii...0787 408180
 
Mkuu..naomba ni upload kesho...
Maana iyo cmu ni ya mamaa watoto..leo sitokua nae
 
Mkuu..ningekua mimi ningechukua..ila ya bibiye..na unajua wanawake na cmu zao..sikufichi hii cimu ina hali nzuri kweli yangu..utaipenda.kajitahid kuitunza mno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom