Samsung galaxy J2 (2016)


Snrmoudy

Snrmoudy

Member
Joined
Jul 6, 2016
Messages
58
Likes
7
Points
15
Snrmoudy

Snrmoudy

Member
Joined Jul 6, 2016
58 7 15
Habar, wana JF..
Ningependa kuuliza kuwa kuna toleo jipya la samsung galaxy j2 (2016) vip kwa hapa Tz. Limeshaingia au vip...kwa mwenye taarifa yeyote kuhusu hii simu anidondoshee hapa kama mwana jamii forum mwezenu.
 
Sheikh23

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
426
Likes
409
Points
80
Age
32
Sheikh23

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
426 409 80
J2 ishakua old model,now kuna j3,ni simu nzuri tu na gharama zake sio kubwa sana coz j2 ni 280,000 na j3 ni laki 4 na ushee hivi..tembelea mawakala wa sumsung kwa maelezo zaidi
 
Snrmoudy

Snrmoudy

Member
Joined
Jul 6, 2016
Messages
58
Likes
7
Points
15
Snrmoudy

Snrmoudy

Member
Joined Jul 6, 2016
58 7 15
J2 ishakua old model,now kuna j3,ni simu nzuri tu na gharama zake sio kubwa sana coz j2 ni 280,000 na j3 ni laki 4 na ushee hivi..tembelea mawakala wa sumsung kwa maelezo zaidi
Kuna samsung galaxy j2 2016
Imezinduliwa hivi karibuni Nchini India
Ndio nilikuwa naulizia kama mzigo umeingia nchini
Maan hiyo iko vizur kinouma kaka ni edition ya j2 2015
 

Forum statistics

Threads 1,235,471
Members 474,585
Posts 29,223,237