samsung galaxy i9300 s3 internet configuration

Mwanantala

Senior Member
May 13, 2010
130
26
Heshima mbele wakuu. Naomba mwongozo wa jinsi ya kujiunga kwenye internet kwa simu yangu hiyo. Nimejaribu sana kuomba mwongozo vodacom lakini wapi.
 
Settings>wireless & network!> mobile netoworks> access point names from here press the optn key and add new apn
Name: a (anything)
Apn: internet
Apn type: internet
Save
Rudi back select as default
Enjoy ur internet
 
Settings>wireless & network!> mobile netoworks> access point names from here press the optn key and add new apn
Name: a (anything)
Apn: internet
Apn type: internet
Save
Rudi back select as default
Enjoy ur internet

Asante kwa mwongozo. Baada ya kurudi back nimeshindwa kuchagua default. Ni click wapi?
 
Hatimaye nimekamilisha setting lakini naambiwa Authentication via the proxy server was unsuccessful.
 
mkuu hakuna haja ya kununua internet bundle?ikiwa simu ina credit ya kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom