Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Vyote mkuu na vipii hii A20 ukii icompare na J7 Pro....
Huwezi ukapata vyote, kwenye vifaa vya electronics unachagua viwili kati ya hivi
-portability
-perfomance
-batterylife

Na A20 ina perfomance kubwa kushinda j7 pro ila inapitwa kwenye display, batterylife nafikiri na camera pia.
 
Huwezi ukapata vyote, kwenye vifaa vya electronics unachagua viwili kati ya hivi
-portability
-perfomance
-batterylife

Na A20 ina perfomance kubwa kushinda j7 pro ila inapitwa kwenye display, batterylife nafikiri na camera pia.
Display naona kam zote ni AMOLED labda display naona ya j7pro ni FHD wakt A20 NI HD....ungekuwa ww ungechukuaa ipi
Battery ni km Pro ni 3600MAH na A20 ni 4000 MAH
 
470 ni A30 ambayo ina ram 4 na 64
Ila mlimani Utaipata 6 na Chini 5 na ushee, Kariako usichoke kuzinguka utaipata kwa 470,.
Hiyo nimeiona shop 400+, sikumbuki exactly ila inacheza kati ya 450 mpaka 470.
 
*NEW PRICE LIST*

*************************
*S10+ - 1,940,000/=*
*S10+ - 2,445,000/=* 512GB
*S10e - 1,445,000/=*
*S10 - 1,730,000/=*
*N9 - available/=*
*A9 - 1,230,000/=*
*A70 - 830,000/=*
*M 20 - 485,000/=*
*A50 - 670,000* 128Gb
*A30 - 510,000* 64Gb
*A20 - 395,000/=*
*A10 - 325,000/=*
*A2core - 225,000/=*
*A7 50 - 705,000/=*
*J4 - 345,000/=*
*J4core - 325,000/=*
*j4+ - 370,000/=*
*j6+ - 445,000/=*
*j8 - 590,000/=*
*J7duo - 380,000/=*
*Note 8. - 1,570,000/=*
*S8+ - 1,445,000/=*
*S8 - 1,090,000/=*
*J7pro - 420,000/=*
*G. P+ - 260,000/=*
*J1ace - 225,000/=*
*j2 core - 260,000/=*

***********************
*Level u pro - 80,000/=*
Kaka unauza simu?
 
Nauza Samsung A10
Bei 250k
Simi bado mpya
Rangi nyekundu
Samsung-Galaxy-A30-launching-1~2.jpeg
 
Kwa bei yake ni reasonable hio A10 madukani kama 250k hivi version ya 2gb na 32GB storage.

Sema usitegemee quality ya samsung, zinafanana tu na simu nyengine za kichina hivyo shusha expectation zako.
Vipi m30 kwa ubora mkuu au ni kama tecno tu?
 
Ndio nilichomaanisha mkuu, kutoka s7 kuja A10 unadowngrade sana hivyo lazma uhisi hicho kitu.
Kwenye S series ipi inakaa chaji mkuu atleast siku nzima data ikiwa ON kati ya S6 edge mpaka s7 edge au plus
(Napendelea performance na battery life)
 
Natumia s7 edge, 3600mAh battery, iko vizuri nikiwa busy nisipowasha data inakaa 3+ days.
.
Unaweza angalia bigger battery capacity pia kwenye Aina nyingine Kuna Hadi 5000mAh
S7 edge ukiwasha data inaweza kumaliza kutwa nzima ikiwa na chaji (yaan 12 hours)?

Maana mi nikichaji simu home asubuhi nataka nikirudi home jion au usiku ndo nichaji tena je hiyo s7 edge itanifaa?
 
12+ hrs inakaa. Kuwa makini usiuziwe copy yake tuu.
S7 edge ukiwasha data inaweza kumaliza kutwa nzima ikiwa na chaji (yaan 12 hours)?

Maana mi nikichaji simu home asubuhi nataka nikirudi home jion au usiku ndo nichaji tena je hiyo s7 edge itanifaa?
 
Vipi m30 kwa ubora mkuu au ni kama tecno tu?
M30 features zake nzuri ni.
-battery kubwa la 5000mah, nimeona video moja youtube inacheza pubg masaa 7 mfululizo,
-kioo kizuri super amoled Full HD
-processor yenye nguvu na ram/storage ya kutosha.

Ila pia vitu hivi vinazingua
-gpu isiyo na nguvu sana inaiangusha processor nzuri
-camera sio nzuri kivile compare na competition.

Ni simu nzuri kama unataka simu ya mishe mishe ya kutumia kila siku, ila kama kucheza games ni priority angalia A50 ama xiaomi redmi note 7.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom