Vyote mkuu na vipii hii A20 ukii icompare na J7 Pro....Priority yako ni ukaaji chaji, ama camera ama perfomance?
Vyote mkuu na vipii hii A20 ukii icompare na J7 Pro....Priority yako ni ukaaji chaji, ama camera ama perfomance?
Huwezi ukapata vyote, kwenye vifaa vya electronics unachagua viwili kati ya hiviVyote mkuu na vipii hii A20 ukii icompare na J7 Pro....
Kweli mkuu bei zake ziko reasonable na specs za ukweli. Watu watahama kwenye S series kuja kwenye A series.
hawezi kuwa serious mkuu S series inafaida sana kwny soko la samsung hawawezi kuborongaAcha masihara mkuu yani tutoke kwenye flagship tuje kwenye hizo mid-range?
Display naona kam zote ni AMOLED labda display naona ya j7pro ni FHD wakt A20 NI HD....ungekuwa ww ungechukuaa ipiHuwezi ukapata vyote, kwenye vifaa vya electronics unachagua viwili kati ya hivi
-portability
-perfomance
-batterylife
Na A20 ina perfomance kubwa kushinda j7 pro ila inapitwa kwenye display, batterylife nafikiri na camera pia.
Hiyo nimeiona shop 400+, sikumbuki exactly ila inacheza kati ya 450 mpaka 470.
Kaka unauza simu?*NEW PRICE LIST*
*************************
*S10+ - 1,940,000/=*
*S10+ - 2,445,000/=* 512GB
*S10e - 1,445,000/=*
*S10 - 1,730,000/=*
*N9 - available/=*
*A9 - 1,230,000/=*
*A70 - 830,000/=*
*M 20 - 485,000/=*
*A50 - 670,000* 128Gb
*A30 - 510,000* 64Gb
*A20 - 395,000/=*
*A10 - 325,000/=*
*A2core - 225,000/=*
*A7 50 - 705,000/=*
*J4 - 345,000/=*
*J4core - 325,000/=*
*j4+ - 370,000/=*
*j6+ - 445,000/=*
*j8 - 590,000/=*
*J7duo - 380,000/=*
*Note 8. - 1,570,000/=*
*S8+ - 1,445,000/=*
*S8 - 1,090,000/=*
*J7pro - 420,000/=*
*G. P+ - 260,000/=*
*J1ace - 225,000/=*
*j2 core - 260,000/=*
***********************
*Level u pro - 80,000/=*
Risiti uliyoinunulia unayo?
Kaka unauza simu?
Vipi m30 kwa ubora mkuu au ni kama tecno tu?Kwa bei yake ni reasonable hio A10 madukani kama 250k hivi version ya 2gb na 32GB storage.
Sema usitegemee quality ya samsung, zinafanana tu na simu nyengine za kichina hivyo shusha expectation zako.
S series ipi inakaa na chaji muda mrefu mkuu? Msaada tafadhaliA series ya Samsung sio nzuri bro hailast. Tafuta S series utaenjoy
Kwenye S series ipi inakaa chaji mkuu atleast siku nzima data ikiwa ON kati ya S6 edge mpaka s7 edge au plusNdio nilichomaanisha mkuu, kutoka s7 kuja A10 unadowngrade sana hivyo lazma uhisi hicho kitu.
Natumia s7 edge, 3600mAh battery, iko vizuri nikiwa busy nisipowasha data inakaa 3+ days.S series ipi inakaa na chaji muda mrefu mkuu? Msaada tafadhali
Mkuu kwa nini sio nzuri hizi.
Au ndio sababu bei yake iko down?
S7 edge ukiwasha data inaweza kumaliza kutwa nzima ikiwa na chaji (yaan 12 hours)?Natumia s7 edge, 3600mAh battery, iko vizuri nikiwa busy nisipowasha data inakaa 3+ days.
.
Unaweza angalia bigger battery capacity pia kwenye Aina nyingine Kuna Hadi 5000mAh
S7 edge ukiwasha data inaweza kumaliza kutwa nzima ikiwa na chaji (yaan 12 hours)?
Maana mi nikichaji simu home asubuhi nataka nikirudi home jion au usiku ndo nichaji tena je hiyo s7 edge itanifaa?
Hapo kwenye copy ndio mtihani sasa12+ hrs inakaa. Kuwa makini usiuziwe copy yake tuu.
Powa powa mkuuHapana mkuu, hii list nilipewa namuuzaji mmoja Dar, anakuletea popote ulipo kwa Dar na mikoani
M30 features zake nzuri ni.Vipi m30 kwa ubora mkuu au ni kama tecno tu?