Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,925
- 5,405
Shukran sana kwa ushauri
Kuanzia A30 kidogo unapata display nzuri mkuu ina full HD super Amoled, pengine ndio simu ya bei rahisi yenye kioo kizuri zaidi, kama unataka simu nzuri ya kutumia kila siku nunua hii.
Kama gaming na software nzito ni priority angalia pia Xiaomi redmi note 7 variant ya 4gb/64GB nafkiri inapatikana pia kwa hio budget.