Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Shukran sana kwa ushauri
Kuanzia A30 kidogo unapata display nzuri mkuu ina full HD super Amoled, pengine ndio simu ya bei rahisi yenye kioo kizuri zaidi, kama unataka simu nzuri ya kutumia kila siku nunua hii.

Kama gaming na software nzito ni priority angalia pia Xiaomi redmi note 7 variant ya 4gb/64GB nafkiri inapatikana pia kwa hio budget.
 
Niko na A50 oooh safi sana
Wakuu habari,

Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.

Nimevutiwa na bei ya A10 iko reasonable sana nataka nivute moja.

Msaada kwa wajuzi wa hii kitu.

Cc: wana jukwaa wote wa technology.
 
Et ni kweli kwamba hizi simu zitapanda bei au propaganda tu? Manake siku za nyuma kupata samsung zenye sifa kama hizi bei haikua rafiki, lakini hapa naona bei imetulia aisee
 
Et ni kweli kwamba hizi simu zitapanda bei au propaganda tu? Manake siku za nyuma kupata samsung zenye sifa kama hizi bei haikua rafiki, lakini hapa naona bei imetulia aisee

Kweli mkuu bei zake ziko reasonable na specs za ukweli. Watu watahama kwenye S series kuja kwenye A series.
 
Mkuu nlkuwaa katika kutaniaa but still naona wanasema itakuwa samsung ile ile coz hataa apple mliwahii sema umu kuwa USA ni design ila watengenezajii ni Chinaa
Sumsung S series na Note series na sumsung wenyewe. Series zingine zote zinatengenezwa under licence na wabia wao haswa India na Vietnam. Sumsung korea hawana simu ambayo ni duo-double line
 
Kuanzia A30 kidogo unapata display nzuri mkuu ina full HD super Amoled, pengine ndio simu ya bei rahisi yenye kioo kizuri zaidi, kama unataka simu nzuri ya kutumia kila siku nunua hii.

Kama gaming na software nzito ni priority angalia pia Xiaomi redmi note 7 variant ya 4gb/64GB nafkiri inapatikana pia kwa hio budget.
Uliongleaa mtu anayetumia S7 binafsi nataka kuondka kwenye J series an to be specific natumia J5prime, hii simu imeanza kuzngua betri yaan ukiwa online ni just 3 hrs iko 20% hata kama ilkuwaa 100% nataka kuji upgrade na A20 au Note 5...ushaurii wakoo mkuu
 
ndo mana kule juu nikamshauri agharabu A50 iko vizuri zaidi ya sana ila si A10 au 20
*NEW PRICE LIST*

*************************
*S10+ - 1,940,000/=*
*S10+ - 2,445,000/=* 512GB
*S10e - 1,445,000/=*
*S10 - 1,730,000/=*
*N9 - available/=*
*A9 - 1,230,000/=*
*A70 - 830,000/=*
*M 20 - 485,000/=*
*A50 - 670,000* 128Gb
*A30 - 510,000* 64Gb
*A20 - 395,000/=*
*A10 - 325,000/=*
*A2core - 225,000/=*
*A7 50 - 705,000/=*
*J4 - 345,000/=*
*J4core - 325,000/=*
*j4+ - 370,000/=*
*j6+ - 445,000/=*
*j8 - 590,000/=*
*J7duo - 380,000/=*
*Note 8. - 1,570,000/=*
*S8+ - 1,445,000/=*
*S8 - 1,090,000/=*
*J7pro - 420,000/=*
*G. P+ - 260,000/=*
*J1ace - 225,000/=*
*j2 core - 260,000/=*

***********************
*Level u pro - 80,000/=*
 
Et ni kweli kwamba hizi simu zitapanda bei au propaganda tu? Manake siku za nyuma kupata samsung zenye sifa kama hizi bei haikua rafiki, lakini hapa naona bei imetulia aisee
*NEW PRICE LIST*

*************************
*S10+ - 1,940,000/=*
*S10+ - 2,445,000/=* 512GB
*S10e - 1,445,000/=*
*S10 - 1,730,000/=*
*N9 - available/=*
*A9 - 1,230,000/=*
*A70 - 830,000/=*
*M 20 - 485,000/=*
*A50 - 670,000* 128Gb
*A30 - 510,000* 64Gb
*A20 - 395,000/=*
*A10 - 325,000/=*
*A2core - 225,000/=*
*A7 50 - 705,000/=*
*J4 - 345,000/=*
*J4core - 325,000/=*
*j4+ - 370,000/=*
*j6+ - 445,000/=*
*j8 - 590,000/=*
*J7duo - 380,000/=*
*Note 8. - 1,570,000/=*
*S8+ - 1,445,000/=*
*S8 - 1,090,000/=*
*J7pro - 420,000/=*
*G. P+ - 260,000/=*
*J1ace - 225,000/=*
*j2 core - 260,000/=*

***********************
*Level u pro - 80,000/=*
 
*NEW PRICE LIST*

*************************
*S10+ - 1,940,000/=*
*S10+ - 2,445,000/=* 512GB
*S10e - 1,445,000/=*
*S10 - 1,730,000/=*
*N9 - available/=*
*A9 - 1,230,000/=*
*A70 - 830,000/=*
*M 20 - 485,000/=*
*A50 - 670,000* 128Gb
*A30 - 510,000* 64Gb
*A20 - 395,000/=*
*A10 - 325,000/=*
*A2core - 225,000/=*
*A7 50 - 705,000/=*
*J4 - 345,000/=*
*J4core - 325,000/=*
*j4+ - 370,000/=*
*j6+ - 445,000/=*
*j8 - 590,000/=*
*J7duo - 380,000/=*
*Note 8. - 1,570,000/=*
*S8+ - 1,445,000/=*
*S8 - 1,090,000/=*
*J7pro - 420,000/=*
*G. P+ - 260,000/=*
*J1ace - 225,000/=*
*j2 core - 260,000/=*

***********************
*Level u pro - 80,000/=*
Mbona umeruka A30?
 
Samsung yangu j7 Pro kwa kweli suala la Chaji hii simu nime Yani nachezea kinyama lakini inatunza chaji balaaa... Hapa samsung wameweza kazi
 
Uliongleaa mtu anayetumia S7 binafsi nataka kuondka kwenye J series an to be specific natumia J5prime, hii simu imeanza kuzngua betri yaan ukiwa online ni just 3 hrs iko 20% hata kama ilkuwaa 100% nataka kuji upgrade na A20 au Note 5...ushaurii wakoo mkuu
Priority yako ni ukaaji chaji, ama camera ama perfomance?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom