SAMSUNG FANBOYS NAONA HILI LINAPITA KAMA HAMLIONI VILE

Hakuna simu zisizolipuka ila ikitokea tatizo kama hilo swali la kwanza linakuja
1. Alitumia chaja original?
2. Hakuwahi kubadili battery? Aliyoweka nayo ni original?

Baada ya hapo ndio tunaanza kuangalia manufacturing defects.

iPhone explodes, catches fire in terrifying Las Vegas security footage

Iphone x hio, live ikilipuka.

Pia kuna case mbalimbali za iphone kulipuka moto.

Apple iPhone 8 Undergoes Battery Malfunction; Starts Hissing Smoke, Cracking Sounds With Back Completely Destroyed
Mkuu chief Mkwawa, naona samsung wanazingua zaidi
 
Sisi watumiaji Wa tekno hayo matukio ya milipuko hayatushangazi sana kwa upande wetu
 
Loh natamani ningekuwa mimi,mtu anachukua maisha hapo kama utani maana kama mimi hii case shida zangu zote ningezitatua nikilipwa.

Unaweza kukuta kuna mbongo naye anayo yake imezibuka ila anakufa kiume hajui aanzie wapi kama aiweke kabatini au awapelekee Samsung wamtengenezee hajui kumbe ni fursa.
 
Hana ushahidi wowote na ni case moja tu. Pia cha kushanhgaza eti anataka note 9 zote zisiuzwe mara tu baada ya iphone mpya kutoka.
 
Back
Top Bottom