Samsung A7 inatoka na kusudi ya kushindana na simu za kichina kama Huawei na Xiaomi

Freak

Senior Member
Aug 18, 2018
143
87
Samsung A7 (2018) inakuja na feature mpya ya camera 3 na uwezekano wa bei kupungua ili kushindana na simu za kichina.
Lakini Samsung katika siku za hivi karibuni, imeshambuliwa na ushindi kutoka kwa wachezaji wa Kichina kama vile Huawei na Xiaomi, ambao wametoa vifaa vingi vya ubunifu katika pointi za chini.

Specifications

  • Display - 6.00-inch
  • Processor - 2.2GHz octa-core
  • Front Camera - 24-megapixel
  • Resolution - 1080x2220 pixels
  • RAM - 4GB
  • OSAndroid - 8.0
  • Storage - 64GB
  • Rear - Camera24-megapixel + 8-megapixel + 5-megapixel
  • Battery - Capacity3300mAh

Bei haijatangazwa ila simu inategemea kutoka msimu huu.

Read more
Hapa
 
Hebu iweke taarifa yako vizuri. Andika taratibu toa maaelezo ya kina. Kabla hujasema samsung A7 inakuja je kwani haipo??? Kama inakuja ni A7 ipi? Taja hata mwaka. Yani umeandika kwa kukurupuka
 
Samsung A7 inakuja na feature mpya ya camera 3 na uwezekano wa bei kupungua ili kushindana na simu za kichina.
Lakini Samsung katika siku za hivi karibuni, imeshambuliwa na ushindi kutoka kwa wachezaji wa Kichina kama vile Huawei na Xiaomi, ambao wametoa vifaa vingi vya ubunifu katika pointi za chini.

Bei haijatangazwa ila simu inategemea kutoka msimu huu.

Read more
Hapa
Kijana andika vizuri kwa kuweka na hizo picha za simu na specification zake, ili tuone
 
Hebu iweke taarifa yako vizuri. Andika taratibu toa maaelezo ya kina. Kabla hujasema samsung A7 inakuja je kwani haipo??? Kama inakuja ni A7 ipi? Taja hata mwaka. Yani umeandika kwa kukurupuka
Nimesema itatoka msimu huu so haijatoka na inajieleza pia ni ya mwaka gani so sijaelewa umeshidwa kuelewa wapi.
 
Samsung A7 inakuja na feature mpya ya camera 3 na uwezekano wa bei kupungua ili kushindana na simu za kichina.
Lakini Samsung katika siku za hivi karibuni, imeshambuliwa na ushindi kutoka kwa wachezaji wa Kichina kama vile Huawei na Xiaomi, ambao wametoa vifaa vingi vya ubunifu katika pointi za chini.

Bei haijatangazwa ila simu inategemea kutoka msimu huu.

Read more
Hapa
Nimejaribu kutuliza akili ili niiielewe post yako bila mafanikio, nimejaribu kuigeuza geuza simu yangu huenda ntaelewa, Ila imeshindikana au upo kwny Panton ya mv nyerere??
 
Mkuu asilimia kubwa ya wana JF wapo vijijini hata waliopo mijini bado wanauelewa mdogo sana wenyewe wanapenda kuandikiwa kila kitu, kwa kifupi mleta mada ameeleza vizuri tu labda uwe mbumbumbu na teknolojia imekupita ndo unaweza usielewe
 
Acha izo wewe ndo una uelewa mdogo
Mkuu asilimia kubwa ya wana JF wapo vijijini hata waliopo mijini bado wanauelewa mdogo sana wenyewe wanapenda kuandikiwa kila kitu, kwa kifupi mleta mada ameeleza vizuri tu labda uwe mbumbumbu na teknolojia imekupita ndo unaweza usielewe
Jamaa amesha edit. Mara ya kwanza aliandika vitu havieleweki hata mtoa mada amekili. Sasa wew ni nani hadi utoe Tathimini ya wana JF kuwa na uelewa mdogo
 
Acha izo wewe ndo una uelewa mdogoJamaa amesha edit. Mara ya kwanza aliandika vitu havieleweki hata mtoa mada amekili. Sasa wew ni nani hadi utoe Tathimini ya wana JF kuwa na uelewa mdogo
Mimi ni Mimi cha msingi unagoogle tu "A7 2018" unaona upande wa Gsm arena unaeleza kila kitu juu ya hio simu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom