Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
- Thread starter
- #21
Haya chief na bei yake n sh ngapi kama unaweza npe number za muuzaji piaa52 ni nzuri zaidi
Haya chief na bei yake n sh ngapi kama unaweza npe number za muuzaji piaa52 ni nzuri zaidi
Wako China Plaza kama uko Dar nenda pale uwaone mkuu
A52Hii A52 na xiamoni 10 pro ipi mashine ya kazi
Bei yake elekezi ndio 700K
Jamani huwa mie naigopa kupigwa kuagiza vitu mtandaoni, au unaweza kuletewa fake, kanuni gani nzuri inatumika kuagiza huko?aliexpress ni tsh 650,000/=
Mbona wauzaji wengi wanapost bei Tsh 850,000?Bei yake elekezi ndio 700K
Umeeelewa maana ya bei elekezi kwa samsung wenyewe na sio wauzaji wenyewe wa rejareja?Mbona wauzaji wengi wanapost bei tsh 850,000?
Asante kwa kunieleweshaUmeeelewa maana ya bei elekez kwa samsung wenyewe na sio wauzaji wenyewe wa rejareja?
Mmh nimeona sim lak 6 na usafir mia 610Pesa kusafirishia simu kama 15,000
Zipo store zinaweka gharama kubwa za usafiri.Mmh nimeona sim lak 6 na usafir mia 610
AsanteZipo store zinaweka gharama kubwa za usafiri.
Hii bei ni 650000, shipping 17000
Hivi kuna hii One plus 7 pro is it worth buying kwa wakati huu na kama ndio inauzwa bei gani?
Ahsante