Samsung A 52 vs Samsung Note 9

Haujasem unataka nini kwenye simu labda camera, charge design n.k kama ungespify unachotaka uwarahisishie wanaokupa ushauri
 
Maoni binafsi Chukua Note 9 kwa vile n ya productivity najua sio popular opinion japo simu ni ya mda kidogo lakin bado ipo worth buying hizo A series itakuja A nyingine na nyingine chap itakuwa obsolete lakin Note series ni Flagships hapo kuna note mbili tu juu yake, well ikija na nyingine inakuwa yatatu
 
Nimekupata mkuu
 
Hapa pana ugumu kidogo kuchagua,
Anyway kama unataka simu Bora, hasa kwenye hardware basi go for note 9,
Kwa ufupi Note 9 ni classic, ina hadhi sana zaidi ya A52.
Kwa nje tuu imeiacha A52 karibuni kwenye kila kitu, body(Gorilla v5 & aluminum frame), display, edges, S-pen,

Ukiweka pembeni S-pen, A52 ipo vizuri kwenye currently softwares na spec's nyingi tuu.

Kikubwa kabisa najua Note 9 hutapata mpya, life span yake ni ya mashaka..,
Kwa usalama wa pesa yako...

Go for A52 brother.
 
Kma unataka latest software na simu inayofeel fast na inakaa na charge chukua A52.

Kma unataka build quality nzuri, uwezo mzuri wa kucheza games na S Pen basi chukua note 9.

Personally nachagua A52 sababu ya high refresh rate. Display ya A52 ina 90hz refresh rate inayofanya iwe ina feel iko fast ukiwa unatumia simu.
 
Usiumize kichwa mkuu twende current... A52. Afu kwanini usichukue A72 au zimeachana sana bei?
 
Kma unataka latest software na simu inayofeel fast na inakaa na charge chukua A52.

Kma unataka build quality nzuri, uwezo mzuri wa kucheza games na S Pen basi chukua note 9.

Personally nachagua A52 sababu ya high refresh rate. Display ya A52 ina 90hz refresh rate inayofanya iwe ina feel iko fast ukiwa unatumia simu.
Kwa kuongezea tu A52 imethibitishwa kua itapata android 12,13,14 ina kamera safi kabisa na vingine vingi chukua zipo kwa 700000 tu ukitak duka ila tigo wanaipiga kwa laki tisa
 
Kma unataka latest software na simu inayofeel fast na inakaa na charge chukua A52.

Kma unataka build quality nzuri, uwezo mzuri wa kucheza games na S Pen basi chukua note 9.

Personally nachagua A52 sababu ya high refresh rate. Display ya A52 ina 90hz refresh rate inayofanya iwe ina feel iko fast ukiwa unatumia simu.
Hapana mm siyo mpenzi wa magame ya kwenye simu but nataka nichakue moja ya android na nyingine ni iphone Xs max
 
Hapa pana ugumu kidogo kuchagua,
Anyway kama unataka simu Bora, hasa kwenye hardware basi go for note 9,
Kwa ufupi Note 9 ni classic, ina hadhi sana zaidi ya A52.
Kwa nje tuu imeiacha A52 karibuni kwenye kila kitu, body(Gorilla v5 & aluminum frame), display, edges, S-pen,

Ukiweka pembeni S-pen, A52 ipo vizuri kwenye currently softwares na spec's nyingi tuu.

Kikubwa kabisa najua Note 9 hutapata mpya, life span yake ni ya mashaka..,
Kwa usalama wa pesa yako...

Go for A52 brother.
Asante ni kweli hiyo note 9 ni second hand from korea ila hii A52 ni full box pale makao makuu yao
 
Note 9 ipo vizuri sana... Kwa kila kitu kasoro kukaa vizur na chaji tuu ndo inazidiwa na A52..
 
Back
Top Bottom