Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Mafundi wa hizi kazi nisike nikapigwa tena leo nimekuja mapema kuna Samsung A52 RAM 8 na Samsung note 9 ipi simu kali na kwanini??
Yaani hivyo vitu vyote ulivyo vitaja mm ndio navitaka sasaHaujasem unataka nini kwenye simu labda camera, charge design n.k kama ungespify unachotaka uwarahisishie wanaokupa ushauri
Nimekupata mkuuMaoni binafsi Chukua Note 9 kwa vile n ya productivity najua sio popular opinion japo simu ni ya mda kidogo lakin bado ipo worth buying hizo A series itakuja A nyingine na nyingine chap itakuwa obsolete lakin Note series ni Flagships hapo kuna note mbili tu juu yake, well ikija na nyingine inakuwa yatatu
Kwa kuongezea tu A52 imethibitishwa kua itapata android 12,13,14 ina kamera safi kabisa na vingine vingi chukua zipo kwa 700000 tu ukitak duka ila tigo wanaipiga kwa laki tisaKma unataka latest software na simu inayofeel fast na inakaa na charge chukua A52.
Kma unataka build quality nzuri, uwezo mzuri wa kucheza games na S Pen basi chukua note 9.
Personally nachagua A52 sababu ya high refresh rate. Display ya A52 ina 90hz refresh rate inayofanya iwe ina feel iko fast ukiwa unatumia simu.
Zimeachana sana A52 ni 800K huku A72 ni 1.2MUsiumize kichwa mkuu twende current... A52. Afu kwanini usichukue A72 au zimeachana sana bei?
Kumbe zitapokea hadi android 14Kwa kuongezea tu A52 imethibitishwa kua itapata android 12,13,14 ina kamera safi kabisa na vingine vingi chukua zipo kwa 700000 tu ukitak duka ila tigo wanaipiga kwa laki tisa
Asante sana ngoja nikachukue hiiUsiumize kichwa mkuu twende current... A52. Afu kwanini usichukue A72 au zimeachana sana bei?
700K hadi 800KCurrent price for Samsung A52 please
Hapana mm siyo mpenzi wa magame ya kwenye simu but nataka nichakue moja ya android na nyingine ni iphone Xs maxKma unataka latest software na simu inayofeel fast na inakaa na charge chukua A52.
Kma unataka build quality nzuri, uwezo mzuri wa kucheza games na S Pen basi chukua note 9.
Personally nachagua A52 sababu ya high refresh rate. Display ya A52 ina 90hz refresh rate inayofanya iwe ina feel iko fast ukiwa unatumia simu.
Asante ni kweli hiyo note 9 ni second hand from korea ila hii A52 ni full box pale makao makuu yaoHapa pana ugumu kidogo kuchagua,
Anyway kama unataka simu Bora, hasa kwenye hardware basi go for note 9,
Kwa ufupi Note 9 ni classic, ina hadhi sana zaidi ya A52.
Kwa nje tuu imeiacha A52 karibuni kwenye kila kitu, body(Gorilla v5 & aluminum frame), display, edges, S-pen,
Ukiweka pembeni S-pen, A52 ipo vizuri kwenye currently softwares na spec's nyingi tuu.
Kikubwa kabisa najua Note 9 hutapata mpya, life span yake ni ya mashaka..,
Kwa usalama wa pesa yako...
Go for A52 brother.
Kwa hyo niingi wapi hapoNote 9 ipo vizuri sana... Kwa kila kitu kasoro kukaa vizur na chaji tuu ndo inazidiwa na A52..