Samsung 6+ haileti majina kwenye sms

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,204
7,892
Wakuu, simu tajwa hapo juu inatatizo la kutoleta majina pindi nitumiwapo sms, yaani majina nimesave lakin mtu akinitumia sms jina haliji inakuja namba tu.

Msaada kwenye tuta wakuu.
 
Jaribu kuiloweka kwenye maji yenye chumvi kwa dakika 7 na sekunde 6 kisha iopoe,itikise mara 3 kisha iache juani kwa masaa mawili baada ya hapo sasa jaribu kuanza kuita jina moja baada ya lingine namaanisha ya kwenye contacts.Ahsante
 
Ndo bangi zako zilivyokutuma?!!
 
hakikisha displayed contact name ndio source ya contact zak, kama zipo kwenye handset, gmail au simcard ndiwe iwe default contact list
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom