Samsung 12 ni kiboko

Mbona unakua msahaulifu mkuu,
Wewe si ndio ulianza kwa kuita simu takataka?

Mkuu kumbukumbu ni muhimu, hii kitu nilishamaliza huko juu.
Ok let make it clear....mimi sina pesa za kutosha naamini simu bora ni High Enda phones au Flagships za kampuni kubwa za simu hasa SUMSUNG KWANGU ukiniwekea Billion 2 kwa accound nitanunua Hizo tu.

A 12 simu bora kwangu kwa Cashflow yangu
 
Leo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana...storage ya kutosha lakini kwenye betry ndo nilichoka yani simu ina 60% lakini inaandika 1DAY mpaka iishe kabisa to 0%. Kiukweli kwa laki 4 tu kupata simu nzuri hivi ni kuonesha Samsung wapo vyema sana with low cost unapata kilicho bora. Nitaitafuta soon.
Nafikiri hapa mtoa mada ameongelea ubora wa Battery ya simu
Hivyo wachangiaji wangejikita kwa kutoa simu zenye battery inayo kaa muda mrefu, najua zipo za Kichina hadi 6000MaH. Hayo mambo ya specification hajayaongelea; hivyo mnamchanganya
 
1. Simu ina Helio p35 kama Tekino. 12nm mwaka 2021 wakati watu wapo kwenyw 5nm.

2. Simu camera yake mwisho wa kurecord video ni 1080p 30fps

3. LTE category 4 kama tekino simu hata halina speed ya internet.

4. Poor display quality

5. Plastic frame

Hapo hamna simu mzee. Siku ukishika simu nzuri ya Samsung njoo tena.
Afu eti laki 4 mkuu... Imeniuma kama hela nimetoa mimi 😅😅😅 ashike hata s20 tu
 
Kwa Angle gani unazungumzia
*kwa mada iliyopo au kwa uchumi kama wangu ni High Class

*Kwa soko la simu Duniani ni takataka tu ukilinganisha na ma Giant

Kwahiyo elewa suala ni nini Rikiboy sizani kama hazijui NOTE 10 ULTRA ma S9 nk suala kulingana na uchumi hapo ndipo unapokwama....yaani kama tunazungumzia BREVIS ni gari nzuri kwa bei yake wewe uje useme sio kweli ukaleta ma LAND ROVER, JAGUAR, VELAR
Note 10 Ultra ndio simu gani?

Nachelea kusema we ni mweupe kwenye simu.
 
Ok let make it clear....mimi sina pesa za kutosha naamini simu bora ni High Enda phones au Flagships za kampuni kubwa za simu hasa SUMSUNG KWANGU ukiniwekea Billion 2 kwa accound nitanunua Hizo tu.

A 12 simu bora kwangu kwa Cashflow yangu
Ewaa ukizungumzia katika mantiki hiii, now your clear...

Yaani iwe wazi tuu, kumbe mtu unachagua kilicho bora Katika katika daraja lako, na KWAKO kinabaki kua bora hata kama kuna zaidi.
 
kweli ni low end mkuu hata me nakubali. Ilaa kwa wale wenye laki 350 mpaka 400k kina kabwela ni HIGH END PHONE.
Mmeshindwa tu kuelewana na reyzzap
Hakuwa na maana ya kuiponda simu yako, bali alikuwa anakuelewesha kuwa kwa pesa uliyotumia kununua hiyo simu , ungepata simu zenye specs nzuri kuliko hiyo samsung

Sikuona kama alikuwa anataka kukudharau au kukukejeli kama ulivyolipokea.
 
ndo hizo redmit sio xiaomi sijui… yani hizi hakuna tofauti na tekno 🤣 🤣 🤣
 
Ewaa ukizungumzia katika mantiki hiii, now your clear...

Yaani iwe wazi tuu, kumbe mtu unachagua kilicho bora Katika katika daraja lako, na KWAKO kinabaki kua bora hata kama kuna zaidi.
Sasa sindio nilikuwa nazungumzia mwanzo nyie wauza simu wa kariakoo aisee
 
Back
Top Bottom