Samson Mwigamba m/kiti mkoa wa Arusha anamshambulia Dr Slaa kiujanja ujanja?

Ni kuwa makini na magamba maana ni watu hatari sana hao
Hiyo ni kweli kuna watu wanajifanya chadema kumbe sio nia yao ni kuvuruga tu na ndio hawa watu wanaowagawa watu kikanda, kikabila na kidini, kuweni makini ccm ipo kazini haijafa bado kama mnavyofikiri
 
Makala iwe positive or negative, our stand is firm to assure ccm is out!!!!!!!!!!!! No more no less..............Peoplesssssssssssssssss Peoplessssssssssss........Twendeni tukachukue kata 29.
 
huyu snitch 2 tumegundua hila zake mapema!hatudanganyiki kajipange upya mkuu
 
Back
Top Bottom