Samson Mwigamba hana kesi ya kujibu, Tafadhali Mahakama isipoteze pesa zetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samson Mwigamba hana kesi ya kujibu, Tafadhali Mahakama isipoteze pesa zetu.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Matola, Sep 13, 2012.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana JF,
  kila mtu hapa anafahamu fika kesi inayomkabili Samsom Mwigamba kuwachochea Polisi wasitii maagizo ya kijinga kutoka kwa wakuu wao, badala ya watu wenye akili timamu kumpongeza badala yake amefikishwa mahakamani kwa uchochezi.

  Sasa swali langu na hasa kwa waandishi wa habari uchwara na wavivu wa kufikiri na wepesi kusahau, je kama Polisi wa kawaida wangeuchukuwa ushauri huu wa Samson Mwigamba leo hii hiki kitoto cha miaka 23 kingekabiliwa na kesi ya mauwaji ya kukusudia? je mbona wao waliomtuma kuuwa hawajashtakiwa?

  TUMBIRI najuwa hard disc yako ina memory nzuri hebu tuwekee ule waraka hapa ili tujadili kwa weledi, na naomba mchango wa Mzee Mwanakijiji kwenye hili.
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu Matola,
  Samahani sana kwa kuchelewa kuweka hii Makala. Nilibanwa na test tangu last week. Anyway ile Makala hii hapa Mkuu wangu. Mzee Mwanakijiji karibu.


  Source:
  [SUP]1[/SUP] Waraka maalumu kwa askari wote

  TUMBIRI (PhD, University of HULL - United Kingdom),
  tumbiri@jamiiforums.com
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...