Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu huyu ni reporter wa BBC Dar es Salaam-Tanzania lakini pia ni Mtanzania Ni moja ya waandishi wa habari wanaofuatilia mabaya tuu kama alivyosema rais haandiki mazuri ya Tanzania.
Ni reporter lakini ana uelement wa Ukamanda (Wavaa kaki) Yaani Upuuzi wote unaotokea Tanzania anaupeleka kule Mimi binafsi sijapendezwa na Tabia yake japo anafanya kazi katika media kubwa anaonekana anafurahia mabaya ya Tanzania.
Africa Live: Zuma orders finance minister back home, Kenya hails success against al-Shabab - BBC News