Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri

Ubaya wa Magufuli ulikuwa kwa wakina nani? Yaani kudhibiti uwizi wa rasilimali zetu kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ndio ubaya wake? Hata mjaribu vipi kumchafua dunia imeshashuhudia kuwa mwamba alikuwa ni kipenzi cha watanzinia kutokana na kazi zake.
 
Wanabodi,

Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kwa mwaka huu, kwanza tutakiane heri ya mwaka mpya.

Pili tupeana pole sana kwa msiba mkubwa wa kumpoteza JPM.

Tatu, nitoe pongezi kwa President Samia kuwa rais wa JMT, kuongoza awamu ya Sita, hongera sana Mama Samia, umeanza vizuri kwa kuonyesha kuwa japo una nia ya kuyaenzi mazuri yote ya mtangulizi wako, umeonyesha kila mtu ana size yake ya viatu, sio vema kuvaa viatu vya mtu yoyote, bali viatu vyako vya size yako. Magufuli anazikwa na viatu vyake, huku ametuachia only mazuri yake ambayo ndio yanabebeka, na kwasababu he was a human being, lets carry only his good luggages, but not his baggages zake on his human side.

President Samia umeonyeshwa uwezo kwanza ni kwa kulibwaga hilo zigo ulilolikuta hapo mlangoni kwako Ikulu. Pia asante kutuletea a real diplomat pale MFA na sio yule Mwalimu wangu Orator mzuri tuu, pale hapahitaji oration ni diplomacy. Mtihani pekee mkubwa kwako ni kuukubali ukweli kuhusu Corona and do the right thing. Kwenye hili nimewahi kushauri mahali na hapa nashauri tena, "Kwavile Magufuli alikuwa hapendi kupangiwa na hatukumpangia, nawaombeni members humu, tusimpangie Samia". Samia Suluhu yuko vizuri sana, anajua nini cha kufanya, tumwache afanye vile anaona inafaa, please let's give her space ".

Kabla sikaanza, naomba kutoa angalizo muhimu. Kwa vile sasa Samia ndie rais, kuna watu sasa ndio wataanza kujipendekeza kwa Samia, hivyo kila mtu atakayeandika jambo lolote zuri kumhusu Samia akaonekana ana jipendekeza. Naomba usome bandiko hili uone nilisema nini kumhusu Samia na ni lini!.

Baada ya hayo sasa nije kwenye topic hii.
Kwanza mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, everything that happens, it happens for a reason, hivyo lolote likitokea, hakuna ubaya kulitafakari bila kumuuliza Mungu sababu, Mungu ana sababu zake kumchukua Magufuli na pia ana sababu zake kumleta Samia, we don't question God's authority.

Japo kifo cha rais Magufuli ni kazi ya Mungu, lakini pia kuna vitu vya kibinaadamu vimechangia, kama heshima kwa marehemu, naomba nisivitaje, lakini kama kuna kitu unakijua kumhusu Magufuli na kinaweza kuwa kimechangia, na sasa unakiona kinaanzishwa mdogo mdogo kuelekezwa kwa Samia, ukiweza kukizuia, kizuie, mimi sina uwezo wa kukizuia, ila nina uwezo tuu wa kukisema ili wenye uwezo wazuie, wakiona hakuna haja ya kuzuia ni kupuuzia tuu, let it be, mimi kwa upande wangu nitakuwa nimetimiza wajibu wangu, to inform.

Siku zote nimekuwa nikihubiri humu, kauli huumba, hakuna kitu kina nguvu humu duniani kama kauli. Pia nikasema uongo ukisemwa sana na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, huwa na mtindo sio wa kuonekana kama ukweli, bali kauli hizo za uongo kuumba huo uongo in reality na kuufanya ukatokea kweli.

Moja ya majarida makubwa kabisa ya kimataifa ya kibeberu, The Economist, kwa miaka yote mitano limekuwa likiandika makala za uongo mwingi na ukweli kidogo za kumsakama rais Magufuli. Uongo huu umekuwa ukirudiwa rudiwa bila kukanushwa, na matokeo yake ukaja kugeuka ukweli, sasa Magufuli hatunaye tena, sasa tuna Samia, jarida hili sasa linajipanga kuanza na Samia!. Jee Tanzania tuendelee kuacha uongo ukisemwa kuhusu taifa letu na viongozi wetu hatu lini?!. Hivi ni hatuna uwezo wa kukanusha, au ni tunapuuza kwa hoja kuwa wasomaji wao hawatuhusu, sisi wanaotuhusu ni Watanzania tuu?!. Sasa tunaishi kwenye global world, ulimwengu wa kiganjani, uongo ukisemwa popote unaingizwa kwenye social media, kila mtu anausoma, mkisingiziwa uongo, msipo kanusha, uongo huo unaonekana ndio ukweli. Tanzania ya Samia must do something on this.

Katika toleo lake la wiki inayoanzia April 3, The Economist limeibuka na makala hii kuihusu Tanzania ya Samia. Katika toleo hili this time angalau limeanza kwa kuonyesha Tumaini Jipya Tanzania: The Economist Baada ya Kumsakama Sana Rais Magufuli, Sasa Angalau Lina Matumaini na Rais Samia!, Laanza Nae Vizuri kwa kumtaka aachane na makosa ya Magufuli kwenye kudeal na Covid!. Yakwepa kuzungumzia chianzo cha kifo kilichotangazwa rasmi, waisingizia...

20210403_map502.jpg

Hoping for change​

Tanzania’s new president surely can’t be worse than the old one​

Uongo humu ni upi na una madhara gani, endelea kuandamana nami.

Paskalisukuma
Sukuma GANG imeibuka?Ila sijui mzee ulimkosea pamoja na juhudi zako zote hakukupa hata UDC
 
Huo ni mtazamo wa Gazetti la The Economist, hata raia wanaojielewa ninaamini wana mtazamo huo huo pia.

Katika kitu natamani ndugu mwandishi, siku moja uje kuanzisha thread kuichambua REPORT YA CAG ya mwaka huu bila kuwa biased kwa kusaka uteuzi. Bwana mkubwa hayupo nasi tena. Cha kusikitisha bungeni hayupo Zitto wa kuichambua vizuri hio report.

Key points;

1) ATCL kuendeshwa kwa hasara ya Billion 60 tokea 2016 - 2021.

Au ndio tuseme CAG pengine ana mhujumu Marehemu Rais Magufuli alietuaminisha kwamba shirika linafanya kazi kwa faida, kufikia hatua shirika kupewa tuzo ya usafiri bora wa mwaka kuliko Turkey Airlines na serikali kupewa Hundi Ya Gawio La Faida na shirika???

Na je, Rais Magufuli angekua hai, angepewa hii hii report ya CAG yenye kulikosoa shirika la ATCL na TTCL, au kuna report nyingine iliopo kwenye makabati yenye mahesabu yaliopikwa ndio angepewa???

2) Matumizi ya hela nyingi zilizokua zinapelekwa Wizara Ya TAMISEMI na kutokujulikana matumizi yake, kufikia Rais Samia kumsimanga Waziri Selemani Jafo na kumtaka awasilishe mahesabu ya Wizara yake, na kabla ya kuwasilisha hayo mahesabu Rais ajaamua kumhamisha Wizara baada ya Siku Mbili (Pengine baada ya kujua kwamba mahesabu hayo akipelekewa hata ridhika nayo).

3) TPA kukoroga mambo kwenye matumizi ya hela (Kwa viashiria vya ufisadi uliokithiri) mpaka kufikia hatua Rais Samia kumsimamisha kazi Mkurugenzi TPA na TAKUKURU kumshikilia na kufanya upelelezi wa Mabillioni kupotea.

4) Matumizi ya hela HAZINA kuchotwa hovyo na wachache kwa kigezo cha matumizi (Matumizi yasio na mashiko wala sababu). Kupelekea Rais Samia kumpa maelekezo CAG afanye ukaguzi upya wa matumizi ya hela hazina kuanzia January 2021 - March 2021.

Rais Samia kifupi, ana mashaka makubwa na matumizi ya hazina kuanzia mwaka huu kuanza (Ni aibu kwa watendaji kumfanya Rais awe ana mashaka na taasisi yao) na ana mashaka makubwa na TPA.

Tulikua tunaaminishwa katika utawala ya 2015 - 2021 kulikua hakuna ufisadi kabisa, na mafisadi walikomeshwa kisawasawa sambamba na kutothubutu kuifisadi nchi. Raia walifurahi na kushangilia sana kwa hilo kwani mpambanaji wa mafisadi hatimae alipatikana kuwatetea wantonge.

Ila katika hali hii kuna sintofahamu na imani imeanza kubadilika, kwamba "VITISHO VYA KUOGOPA KUIKOSOA NA KUIHOJI SERIKALI YA AWAMU YA 5" ndio sababu ya raia kuaminishwa kwamba hakuna ufisadi na mengineyo, ila sasa raia wanaanza kuamini ufisadi ulikuwepo kama awamu zilizopita (Na wengine wakiamini ufisadi umezidi awamu zilizopita - tuvute subira).

Na sisi wengine tunaamini, waliokua wanapata taarifa za ufisadi (Hasa waandishi wa habari wa kipelelezi) walikua wakiogopa sana kuweka wazi taarifa hizo, kwa kuhofia kupotezwa kama kina Azory Gwanda au kupewa kesi za uhujumu uchumi. Kasoro waandishi mliokua mnasaka uteuzi kwa kusifia hata yasio sifika.

NOTE THAT: baada ya awamu ya 6 kuingia madarakani, ndani ya week moja tu baadhi ya magazeti (Mfano Raia Mwema) wameanza kuisaidia serikali kutoa taarifa za ufisadi unaofanyika katika taasisi za serikali, kama hela zilizotolewa hazina kuanzia January 2021 mpaka March 2021 kwa kuweka wazi mpaka Account Number za benki na kiasi cha pesa zilizokua zikitolewa bila maelezo.

Issue ya Makontena Ya Makinikia, imeanza kuchukua taswira mpya, leak zimeanza kusambaa kwamba tume ya Prof fulani baada ya kufanya uchunguzi, ili baini kwenye makontena ya mchanga ule katika kila kontena la 20Ft kulikua na 0.7% ya dhahabu na sio 7.0% kama walivyolazimishwa kuandika kwenye report na Marehemu Boss Kazi baada ya kuona alikurupuka kwenye maamuzi (For the sake of political sympathy and legal consequences).

Acacia, mtoto wa ndani ya ndoa ya Barrick alikua akilipia kodi ya 0.7% ya dhahabu katika kila kontena la 20Ft kama ilivyotakiwa kisheria, na baada ya Boss Kazi kukurupuka na kufanya maamuzi bila kujiridhisha kwa kuunda tume ya uchunguzi aliamua kuyazuia makontena yale, report ilivyotoka ya tume ilibidi data kugeuzwa na kupikwa kuwa 7.0% ya dhahabu katika kila kontena badala ya 0.7%, Acacia ndio wakakutwa wanakwepa kodi.

Tulisubiri sana, zile NOAH moja kwa kila Raia kutoka kwa Acacia, ila kimya kilitanda mpaka umauti ukamfika alietupa ahadi ile. Tuliogopa ku hoji kipindi cha uhai wake, kwani tulimzoea kwamba hapendi kubanwa kwenye kona kwa hoja zenye mashiko. Pia tulimzoea alivokua akimaanisha pindi anaongea kwa kutumia maneno kuhusiana na serikali ya awamu ya tano SERIKALI YANGU, MIMI NINATAKA, tofauti na Mama anavyotumia maneno hayo na jinsi alivyoyabadilisha SERIKALI YETU, SISI TUNATAKA.
Comment of the day
 
Wanabodi,

Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kwa mwaka huu, kwanza tutakiane heri ya mwaka mpya.

Pili tupeana pole sana kwa msiba mkubwa wa kumpoteza JPM.

Tatu, nitoe pongezi kwa President Samia kuwa rais wa JMT, kuongoza awamu ya Sita, hongera sana Mama Samia, umeanza vizuri kwa kuonyesha kuwa japo una nia ya kuyaenzi mazuri yote ya mtangulizi wako, umeonyesha kila mtu ana size yake ya viatu, sio vema kuvaa viatu vya mtu yoyote, bali viatu vyako vya size yako. Magufuli anazikwa na viatu vyake, huku ametuachia only mazuri yake ambayo ndio yanabebeka, na kwasababu he was a human being, lets carry only his good luggages, but not his baggages zake on his human side.

President Samia umeonyeshwa uwezo kwanza ni kwa kulibwaga hilo zigo ulilolikuta hapo mlangoni kwako Ikulu. Pia asante kutuletea a real diplomat pale MFA na sio yule Mwalimu wangu Orator mzuri tuu, pale hapahitaji oration ni diplomacy. Mtihani pekee mkubwa kwako ni kuukubali ukweli kuhusu Corona and do the right thing. Kwenye hili nimewahi kushauri mahali na hapa nashauri tena, "Kwavile Magufuli alikuwa hapendi kupangiwa na hatukumpangia, nawaombeni members humu, tusimpangie Samia". Samia Suluhu yuko vizuri sana, anajua nini cha kufanya, tumwache afanye vile anaona inafaa, please let's give her space ".

Kabla sikaanza, naomba kutoa angalizo muhimu. Kwa vile sasa Samia ndie rais, kuna watu sasa ndio wataanza kujipendekeza kwa Samia, hivyo kila mtu atakayeandika jambo lolote zuri kumhusu Samia akaonekana ana jipendekeza. Naomba usome bandiko hili uone nilisema nini kumhusu Samia na ni lini!.

Baada ya hayo sasa nije kwenye topic hii.
Kwanza mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, everything that happens, it happens for a reason, hivyo lolote likitokea, hakuna ubaya kulitafakari bila kumuuliza Mungu sababu, Mungu ana sababu zake kumchukua Magufuli na pia ana sababu zake kumleta Samia, we don't question God's authority.

Japo kifo cha rais Magufuli ni kazi ya Mungu, lakini pia kuna vitu vya kibinaadamu vimechangia, kama heshima kwa marehemu, naomba nisivitaje, lakini kama kuna kitu unakijua kumhusu Magufuli na kinaweza kuwa kimechangia, na sasa unakiona kinaanzishwa mdogo mdogo kuelekezwa kwa Samia, ukiweza kukizuia, kizuie, mimi sina uwezo wa kukizuia, ila nina uwezo tuu wa kukisema ili wenye uwezo wazuie, wakiona hakuna haja ya kuzuia ni kupuuzia tuu, let it be, mimi kwa upande wangu nitakuwa nimetimiza wajibu wangu, to inform.

Siku zote nimekuwa nikihubiri humu, kauli huumba, hakuna kitu kina nguvu humu duniani kama kauli. Pia nikasema uongo ukisemwa sana na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, huwa na mtindo sio wa kuonekana kama ukweli, bali kauli hizo za uongo kuumba huo uongo in reality na kuufanya ukatokea kweli.

Moja ya majarida makubwa kabisa ya kimataifa ya kibeberu, The Economist, kwa miaka yote mitano limekuwa likiandika makala za uongo mwingi na ukweli kidogo za kumsakama rais Magufuli. Uongo huu umekuwa ukirudiwa rudiwa bila kukanushwa, na matokeo yake ukaja kugeuka ukweli, sasa Magufuli hatunaye tena, sasa tuna Samia, jarida hili sasa linajipanga kuanza na Samia!. Jee Tanzania tuendelee kuacha uongo ukisemwa kuhusu taifa letu na viongozi wetu hatu lini?!. Hivi ni hatuna uwezo wa kukanusha, au ni tunapuuza kwa hoja kuwa wasomaji wao hawatuhusu, sisi wanaotuhusu ni Watanzania tuu?!. Sasa tunaishi kwenye global world, ulimwengu wa kiganjani, uongo ukisemwa popote unaingizwa kwenye social media, kila mtu anausoma, mkisingiziwa uongo, msipo kanusha, uongo huo unaonekana ndio ukweli. Tanzania ya Samia must do something on this.

Katika toleo lake la wiki inayoanzia April 3, The Economist limeibuka na makala hii kuihusu Tanzania ya Samia. Katika toleo hili this time angalau limeanza kwa kuonyesha Tumaini Jipya Tanzania: The Economist Baada ya Kumsakama Sana Rais Magufuli, Sasa Angalau Lina Matumaini na Rais Samia!, Laanza Nae Vizuri kwa kumtaka aachane na makosa ya Magufuli kwenye kudeal na Covid!. Yakwepa kuzungumzia chianzo cha kifo kilichotangazwa rasmi, waisingizia...

20210403_map502.jpg

Hoping for change​

Tanzania’s new president surely can’t be worse than the old one​

Uongo humu ni upi na una madhara gani, endelea kuandamana nami.

Paskali
Bwana paskali unajua sana kuandika na kupangilia makala.... Umesoma mpaka la ngapi?
 
Unajua Paskal,the Economist ni mali ya akina Rothschild,ambao ndio wanao own Mossad,CIA,MI6 nk.Nimetaja Mossad kwanza kwa sababu ya uhusiano wao na Glencore na possibly kifo cha Rais wetu.

Unajua,angering Glencore in particular is a risky business. The commodities giant was originally founded by Marc Rich, an infamous asset for Israel’s Mossad.Sasa Magufuli aliwanyang'anya Glencore rights za Nickel mining at Kabanga,venture ambayo macho yote ya Glencore yalielekezwa hapo.Kwa ninavyo wajua Mossad,that was an extremely dangerous undertaking for Magufuli.Hawa jamaa wao kutengeneza cardiac arrest with or without a pace maker sio kazi sana kwao.

Sasa hawa wanapozungumza positively kuhusu Mama Samia,wanafanya hivyo kwa kudhani kwamba labda ata-reverse misimamo ya Comrade Magufuli kuhusu resources na C-19 hasa wakizingatia mahusiano ya nyuma.Kama hayo yatatokea sijui,ngoja tusubiri.
 
Conspiracy theorist at work..
 
Pasco unajaribu bahati kwa Mama
Angalia tarehe ya bandiko hili
P
 
Lakini zipo sababu za kibinadam.....leo sitazitaja haya bwana Pasco ,nimekuelewa sana....

Kibaya zaidi ,nikujaribu kuwa sawa na Mungu ,hili lilikuwa kosa kubwa sana, wapambe mlishindwa kabisa kuonya.
 
Wanabodi,
]
...
Uongo humu ni upi na una madhara gani, endelea kuandamana nami.

Paskali

Paskali bandiko lako kuhusu makala ya "The Economist" haina uongo bali kumtaka/kumwelekeza Rais SSH nini cha kufanya ili malengo yao yatimie. Madhara yake ni pale Rais atakapocheza ngoma yao hiyo.

Nina imani kubwa Rais SSH ataendeleza "legacy" ya Hayati Magufuli kuelekea Tanzania mpya, ambayo mtangulizi wake aliitazamia. Kwamba amemteua Dr Mpango kuwa Makamu wake, ni ushahidi wa hoja yangu.
 
Wanabodi,

Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kwa mwaka huu, kwanza tutakiane heri ya mwaka mpya.

Pili tupeana pole sana kwa msiba mkubwa wa kumpoteza JPM.

Tatu, nitoe pongezi kwa President Samia kuwa rais wa JMT, kuongoza awamu ya Sita, hongera sana Mama Samia, umeanza vizuri kwa kuonyesha kuwa japo una nia ya kuyaenzi mazuri yote ya mtangulizi wako, umeonyesha kila mtu ana size yake ya viatu, sio vema kuvaa viatu vya mtu yoyote, bali viatu vyako vya size yako. Magufuli anazikwa na viatu vyake, huku ametuachia only mazuri yake ambayo ndio yanabebeka, na kwasababu he was a human being, lets carry only his good luggages, but not his baggages zake on his human side.

President Samia umeonyeshwa uwezo kwanza ni kwa kulibwaga hilo zigo ulilolikuta hapo mlangoni kwako Ikulu. Pia asante kutuletea a real diplomat pale MFA na sio yule Mwalimu wangu Orator mzuri tuu, pale hapahitaji oration ni diplomacy. Mtihani pekee mkubwa kwako ni kuukubali ukweli kuhusu Corona and do the right thing. Kwenye hili nimewahi kushauri mahali na hapa nashauri tena, "Kwavile Magufuli alikuwa hapendi kupangiwa na hatukumpangia, nawaombeni members humu, tusimpangie Samia". Samia Suluhu yuko vizuri sana, anajua nini cha kufanya, tumwache afanye vile anaona inafaa, please let's give her space ".

Kabla sikaanza, naomba kutoa angalizo muhimu. Kwa vile sasa Samia ndie rais, kuna watu sasa ndio wataanza kujipendekeza kwa Samia, hivyo kila mtu atakayeandika jambo lolote zuri kumhusu Samia akaonekana ana jipendekeza. Naomba usome bandiko hili uone nilisema nini kumhusu Samia na ni lini!.

Baada ya hayo sasa nije kwenye topic hii.
Kwanza mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, everything that happens, it happens for a reason, hivyo lolote likitokea, hakuna ubaya kulitafakari bila kumuuliza Mungu sababu, Mungu ana sababu zake kumchukua Magufuli na pia ana sababu zake kumleta Samia, we don't question God's authority.

Japo kifo cha rais Magufuli ni kazi ya Mungu, lakini pia kuna vitu vya kibinaadamu vimechangia, kama heshima kwa marehemu, naomba nisivitaje, lakini kama kuna kitu unakijua kumhusu Magufuli na kinaweza kuwa kimechangia, na sasa unakiona kinaanzishwa mdogo mdogo kuelekezwa kwa Samia, ukiweza kukizuia, kizuie, mimi sina uwezo wa kukizuia, ila nina uwezo tuu wa kukisema ili wenye uwezo wazuie, wakiona hakuna haja ya kuzuia ni kupuuzia tuu, let it be, mimi kwa upande wangu nitakuwa nimetimiza wajibu wangu, to inform.

Siku zote nimekuwa nikihubiri humu, kauli huumba, hakuna kitu kina nguvu humu duniani kama kauli. Pia nikasema uongo ukisemwa sana na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, huwa na mtindo sio wa kuonekana kama ukweli, bali kauli hizo za uongo kuumba huo uongo in reality na kuufanya ukatokea kweli.

Moja ya majarida makubwa kabisa ya kimataifa ya kibeberu, The Economist, kwa miaka yote mitano limekuwa likiandika makala za uongo mwingi na ukweli kidogo za kumsakama rais Magufuli. Uongo huu umekuwa ukirudiwa rudiwa bila kukanushwa, na matokeo yake ukaja kugeuka ukweli, sasa Magufuli hatunaye tena, sasa tuna Samia, jarida hili sasa linajipanga kuanza na Samia!. Jee Tanzania tuendelee kuacha uongo ukisemwa kuhusu taifa letu na viongozi wetu hatu lini?!. Hivi ni hatuna uwezo wa kukanusha, au ni tunapuuza kwa hoja kuwa wasomaji wao hawatuhusu, sisi wanaotuhusu ni Watanzania tuu?!. Sasa tunaishi kwenye global world, ulimwengu wa kiganjani, uongo ukisemwa popote unaingizwa kwenye social media, kila mtu anausoma, mkisingiziwa uongo, msipo kanusha, uongo huo unaonekana ndio ukweli. Tanzania ya Samia must do something on this.

Katika toleo lake la wiki inayoanzia April 3, The Economist limeibuka na makala hii kuihusu Tanzania ya Samia. Katika toleo hili this time angalau limeanza kwa kuonyesha Tumaini Jipya Tanzania: The Economist Baada ya Kumsakama Sana Rais Magufuli, Sasa Angalau Lina Matumaini na Rais Samia!, Laanza Nae Vizuri kwa kumtaka aachane na makosa ya Magufuli kwenye kudeal na Covid!. Yakwepa kuzungumzia chianzo cha kifo kilichotangazwa rasmi, waisingizia...

20210403_map502.jpg

Hoping for change​

Tanzania’s new president surely can’t be worse than the old one​

Uongo humu ni upi na una madhara gani, endelea kuandamana nami.

Paskali
Usianze kujipendekeza kwa speed kubwa kama ulivyofanya kwa jiwe na mwisho wake ukatoka kapa.

Wenzako kina Bashite walikuwa wanajipendekeza kwa akili.
 
Back
Top Bottom