Samia Suluhu: Tunainyoosha nchi, lazima maumivu yawepo

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu amewaasa watanzania kuunga mkono hatua zinazoendelea kuchuliwa na Serikali ya awamu ya tano japo zinaweza kuleta "maumivu".
Ametolea mfano kwamba ukiwa na mkono uliopinda lazima kunakuwepo na maumivu hadi mkono huo unyooke
 
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu amewaasa Watanzania kuunga Mkono hatua zinazoendelea kuchuliwa na Serikali ya awamu ya Tano japo zinaweza kuleta "maumivu".
Ametolea mfano kwamba ukiwa na mkono uliopinda lazima kunakuwepo na maumivu hadi mkono huo unyooke

HAPA KAZI TU mama yetu!
 
Tunataka kujua Jesca kilaza kaingia vipi UDOM?
Kunyoosha nchi kwenu ni usanii mtupu Chenge, Ngeleja, Tibaijuka, Gurumo, harbinder, Rugemarila mbona mnawakwepa? Vipi kuhusu MV Dar, UDA, Pride, Wakwapuzi wa nyumba, Lugumi etc hawa mtawanyoosha lini? Na sukari bado tu mnainyoosha? Mpaka lini?
 
Makamu wa Rais huwa kazi yake ni nini??

Au ndio hii ya kumsifia sifia Mukulu??
Kazi yake ni kutoa mawazo ya mfalme mtakatifu! Ananyoosha nchi na wananchi wake wanyonge matajiri wanapeta. Hii nchi buaaana ni sarakasi kila siku! Tumekusikia mama maumivu yakizidi daktari atakuwa nani?
 
Watueleze basi mpwa badala ya kutudanganya eti wamejitoa kafara kupambana na ufisadi kumbe uongo mtupu! Au tumeagiza sukari nchi za nje wakati bado bei ya sukari ni mwendo wa kuruka kila unapoipata.

Mpwa hayo ulioyaorodhesha magumu.
 
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu amewaasa watanzania kuunga mkono hatua zinazoendelea kuchuliwa na Serikali ya awamu ya tano japo zinaweza kuleta "maumivu".
Ametolea mfano kwamba ukiwa na mkono uliopinda lazima kunakuwepo na maumivu hadi mkono huo unyooke

Kauli tata! Mambo ya mikono na siasa ni tofauti kabisa. Unakuwa dikiteita/unakanyaka katiba, haki za binadamu eti unayoosha mkno! Not at all! Je aliyeipinda mnamfanya nini? Yeye anapeta sisi tunaumia, haki iko wapi mama Suluhu?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mpwa hayo ulioyaorodhesha magumu.
Tunataka kujua Jesca kilaza kaingia vipi UDOM?
Kunyoosha nchi kwenu ni usanii mtupu Chenge, Ngeleja, Tibaijuka, Gurumo, harbinder, Rugemarila mbona mnawakwepa? Vipi kuhusu MV Dar, UDA, Pride, Wakwapuzi wa nyumba, Lugumi etc hawa mtawanyoosha lini? Na sukari bado tu mnainyoosha? Mpaka lini?
Nadhani hii post yako ndio post ya dhahabu leo! Bravo! Umemaliza kazi naenda kulala!
 
Back
Top Bottom