Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

.
IMG_20201018_091547.jpg

Hilo.jicho !!!!
 
Wapwa

Ni ukweli usiofichika kuwa CCM ina mbinu nyingi sana za uwizi wa kura, bahati mbaya nyingi tayari zimeshajulikana. Sasa kuna baadhi ambazo hazipigiwi kelele sana lakini ni mbinu mbaya sana na wakiitumia lazima watafaulu na kutakuwa hakuna pa kulalamika. mawakala muwe makini sana kwenye hili.

1 ) Watendaji kukusanya namba na vitambulisho vya kupigia kura
Kwa takribani miezi 6 sasa maeneo mengi sana, watendaji wamekuwa wakipita nyumba kwa nyumba kukusanya taarifa za wapiga kura, mfano namba ya kitambulisho na eneo unalopigia kura, kuna siku nliuliza hapa hizi taarifa wanazokusanya zinakwenda kufanyiwa nini hakuna aliyekuwa na jibu, na hii wamekuwa wakiifanya kwa siri sana.

Walichokipanga hawa jamaa, ni kwamba mfano kituo A kina wapiga kura 250, inajulikana ya kuwa sio wapiga kura wote watakaoenda kupiga kura, kwa hiyo mfano wakipiga kura watu 130, sababu tayari wana taarifa za wapiga kura wote wa kituo A wanaweza kujua nani amepiga nani hajapiga wakisaidiana na wasimamizi ndani ya kituo, kwa hiyo ni rahisi either kuleta mamluki kumalizia idadi iliyobakia wakiwa na taarifa sahihi za wapiga kura wa kituo husika au kutafuta upenyo wa kuongeza kura nyingine ndani ya box la kura. mfano wakiongoza kura 50 * vituo 50000 watakuwa wamefanikiwa kuongeza kura zaidi ya 2000,000+ .

Sasa nini kifanyike. Hapa tutagemea zaidi WAKALA kuhakikisha anajua idadi KAMILI ya watu wote waliopiga kura ndani ya kituo chake, na sio kupata idadi kutoka kwa msimamizi wa kituo. WAKALA hakikisha muda wote unakuwa kituoni, na kila anayeingia unamuhakiki sura yake ndani ya kitambulisho na unamuhesabu ili kutokuruhusu udanganyifu wowote wa idadi ya waliopiga kura.

2 ) Majimbo yaliyopita bila kupingwa

Haya majimbo yalikuwa ni mkakati wa kuongeza kura za uraisi kwao, huku kuna uwezekano mkubwa wa kupata 100% kwa kila kituo, kwa iyo tunaomba mawakala wetu muwe makini sana na wapiga kura na idadi ya watu watakaopiga kura ndani ya vituo vyenu.

Haki huinua Taifa
 
Semantic Translation
She is either stupid or conceited, possible stupid because she is conceited, or conceited because she is stupid.

Stupidity has a way of erasing humility.

Leaders have the responsibility to be disciplined in their diction and to be "misinterpretation proof", or at the very least, they should try hard to not be easily misinterpretable.

The VP clearly does not care about that.

Moreover, if her words are a window to her thinking, she cares very little for her voters.

All she cares about is how mighty and invincible this juggernault called CCM is.
 
Indeed CCM Endanger our Peace, They thinks They have ultimately power, They ignore the power of the voters
 
Indeed CCM Endanger our Peace, They thinks They have ultimately power, They ignore the power of the voters

Really? All this noise is much ado about nothing! Lissu has proclaimed himself President and goes by that title at all his rallies. The use of that title would be reasonable, if he were at least a former President. Additionally, the Election Director, at some point, questioned why Lissu was still campaigning, if he already knew he would ultimately win the upcoming general election.

Mtu ukizoea sana kulalamika utalalamikia hata tabia ulizonazo wewe mwenyewe. Chadema mmezoea sana kulalama!
 
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.

Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.

Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Hii nayo ni sera?.Asihofu sana kuna wachache wanaonufaika na uwepo wa CCM watawapigia kura.Sidhani kama watapata zero.Naamini wataambulia chochote.
 
Inakuaje Sasa unahamasisha vurugu na hauishi Tanzania
Kwanza sijahamasisha vurugu, hoja hii ni mufilisi, hujaijenga kwa ushahidi wowote.

Pili sihitaji kuishi Tanzania ili kuchangia kwa mawazo kuhusu maendeleo ya Tanzania.

Ingekuwa kuishi Tanzania ni lazima kwa hilo, mabalozi wa Tanzania walio nje wasingetoa michango yao kuhusu maendeleo ya Tanzania.

Hoja zako hazina mashiko. Jaribu tena.
 
Hiyo hapo tafsiri yako inayohamasisha vurugu,afu we upo mbali unakula popcorn
Hapana, ni ufinyu wa mawazo yako tu ndio unaoona vurugu.

Labda ungemwambia Makamu wa Rais aache kusema ovyo.

Makamu wa Rais kajamba, mimi natema mate nasema huyu Makamu wa Rais kajamba ushuzi unanuka.

Halafu unataka kunilaumu mimi niliyetema mate na kusema Makamu wa Rais kajamba ushuzi unanuka?

Mlaumu aliyejamba,usimlaumu mtema mate.
 
Huwezi kumtolea Mama mfano wa hivyo hio ni kuonyesha your uncuth,uncivilized, barbaric and you have a mediaval state of mind

Mifano ya hivyo hutolewa na watoto wa nnje ya ndoa,where you born out of weedlock

Your degrading Women,You luck Euphemisim in your lexicon

Have a pure mind and vote for JPM
 
Wewe semi-literate jifunze spelling kwanza kabla ya kuniita mimi uncivilized.
 
Typing error zisikufanye ukimbie hoja
Ukiwekewa hoja na kiroja utaweza kutofautisha?

Makamu wa Rais kachemsha.

Ila wewe ama una tongotongo huwezi kuona, ama unatetea chama tu bila kuangalia mantiki.

Mwanasiasa anatakiwa kuomba kura.

Mwanasiasa hatakiwi kuwaambia wananchi hahitaji kura zao, atashinda hata bila kura zao.

Kwanza kauli hiyo ni ya dharau. Dharau si sifa nzuri kwa mwanasiasa. Dharau inapingana na sifa nzuri ya unyenyekevu kwa wananchi.

Pili, kauli hiyo inaweza kutafsirika kwamba mwanasiasa huyo kajipanga kuiba kura, ndiyo maana anasema hahitaji kura za wananchi.

Mwanasiasa kujiweka katika nafasi ya kutafsiriwa hivyo ni kuhatarisha amani ya nchi.
 
Back
Top Bottom