SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,760
.
Hilo.jicho !!!!
Hilo.jicho !!!!
Naam nikweli tafasiri sahihi kabisaTafsiri, hata tusipopata kura zenu tutaiba tu kura na kuunda serikali kwa hila.
Hahaha 😂Avatar nzuri lakin kingereza cha yohana wa chato. Badilika.
Mimi sina chama, siishi wala sipigi kura Tanzania, kwa hivyo niondoe katika mkumbo huu kwanza.Wataibaje?????si mmesema mnalinda Kura zenu
Semantic TranslationTafsiri, hata tusipopata kura zenu tutaiba tu kura na kuunda serikali kwa hila.
She is either stupid or conceited, possible stupid because she is conceited, or conceited because she is stupid.Semantic Translation
Indeed CCM Endanger our Peace, They thinks They have ultimately power, They ignore the power of the votersShe is either stupid or conceited, possible stupid because she is conceited, or conceited because she is stupid.
Stupidity has a way of erasing humility.
Leaders have the responsibility to be disciplined in their diction and to be "misinterpretation proof", or at the very least, they should try hard to not be easily misinterpretable.
The VP clearly does not care about that.
Moreover, if her words are a window to her thinking, she cares very little for her voters.
All she cares about is how mighty and invincible this juggernault called CCM is.
Indeed CCM Endanger our Peace, They thinks They have ultimately power, They ignore the power of the voters
Hii nayo ni sera?.Asihofu sana kuna wachache wanaonufaika na uwepo wa CCM watawapigia kura.Sidhani kama watapata zero.Naamini wataambulia chochote.
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.
Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Inakuaje Sasa unahamasisha vurugu na hauishi TanzaniaMimi sina chama, siishi wala sipigi kura Tanzania, kwa hivyo niondoe katika mkumbo huu kwanza.
Kwanza sijahamasisha vurugu, hoja hii ni mufilisi, hujaijenga kwa ushahidi wowote.Inakuaje Sasa unahamasisha vurugu na hauishi Tanzania
Ukaribu na Bashite umemmaliza na kumshusha kabisa Mama tuliewahi kumthamini.Huyu mama nilikuwa najua Ni empty head lakini sikujua Ni kwa kiwango hiki yaani anatangaza kupora maamuzi ya umma hadharani Kama anavyofanya na dogodogo wakeView attachment 1603638View attachment 1603640View attachment 1603641View attachment 1603642
Hapana, ni ufinyu wa mawazo yako tu ndio unaoona vurugu.Hiyo hapo tafsiri yako inayohamasisha vurugu,afu we upo mbali unakula popcorn
Huwezi kumtolea Mama mfano wa hivyo hio ni kuonyesha your uncuth,uncivilized, barbaric and you have a mediaval state of mindHapana, ni ufinyu wa mawazo yako tu ndio unaoona vurugu.
Labda ungemwambia Makamu wa Rais aache kusema ovyo.
Makamu wa Rais kajamba, mimi natema mate nasema huyu Makamu wa Rais kajamba ushuzi unanuka.
Halafu unataka kunilaumu mimi niliyetema mate na kusema Makamu wa Rais kajamba ushuzi unanuka?
Mlaumu aliyejamba,usimlaumu mtema mate.
Wewe semi-literate jifunze spelling kwanza kabla ya kuniita mimi uncivilized.Huwezi kumtolea Mama mfano wa hivyo hio ni kuonyesha your uncuth,uncivilized, barbaric and you have a mediaval state of mind
Mifano ya hivyo hutolewa na watoto wa nnje ya ndoa,where you born out of weedlock
Your degrading Women,You luck Euphemisim in your lexicon
Have a pure mind and vote for JPM
Typing error zisikufanye ukimbie hojaWewe semi-literate jifunze spelling kwanza kabla ya kuniita mimi uncivilized.
Ukiwekewa hoja na kiroja utaweza kutofautisha?Typing error zisikufanye ukimbie hoja