Samia ni Mama, hakuwaua watoto wenu. Mungu huwachukua watu sugu wa aina flani kwa njia flani

Samia ni Mama, hakuwaua watoto wenu. Mungu huwachukua watu sugu wa aina flani kwa njia flani

ALEVAMI

Member
Joined
May 17, 2026
Posts
47
Reaction score
23
Tundu Lissu alikuwa active toka kipindi cha Hayati Magufuli, na Magufuli hakuwahi kuactivate Jinai kwa sababu alijua hawezi kufanikiwa na ni kitu ambacho kingempa adhabu kali sana.

Karudishwa nchini hapa akaona busara ni kitu cha kukichezea na uchizi ambao unathibitishwa hadi sasa kutokana na matokeo yake ya yeye kufuatwa na watu wengi wenye mapungufu kama yeye ambao wanaona fujo na uvunjaji sheria ndio suluhisho la changamoto ambazo wanakumbana nazo na yeye mwenyewe

Kiongozi wao kwenda jela na wafuasi wake baadhi kufa.

Kama Raia natambua vyombo vya ulinzi na usalama wa Raia na Mali zao natambua wanatambua wajibu wao na jinsi ya utendaji kazi wao kwa hiyo ukiacha agizo la Rais ambaye hakosei. Polisi sheria inawalinda inapotokea wamegoma kufanya kazi flani.

Lilitokea oktoba 2025 Tanzania ni sheria imefanya kazi yake na jukumu la Serikali akiwemo Rais ni kutekeleza matakwa ya sheria husika.

Mimi naomba niseme tu Gen Z wana uwezo gani wa kupambanua na kuleta suluhisho la changamoto za kimaisha wakati wao wenyewe ni watoto ambao wanatokana na changamoto za uzembe wa wazazi wao?

Jibu ni kwamba ni uhuni na uvunjaji sheria tu ndiyo matokeo yake. Kufa kila mtu atakufa kwa njia yake Mama Samia ni Mama sio yeye aliyewaua watoto wenu ni Mungu huwachukua watu sugu wa aina flani kwa njia flani.

Mtoto wako anatoka siku ya zile za fujo, uhuni, wizi na uvunjaji wa sheria nyingine nyingi na sio maandamano ambayo yako kisheria unamruhusu anaenda huko anashiriki unasikia kapigwa risasi unasema Mama Samia hafai na Mungu aliyeacha hilo litokee, anamchuliaje?

Haya mambo tuyatakari sana Watanzania.

Samia ni Mama na Rais wetu na ndiyo Mungu ametuweka hapo tuache chuki na tumpende msomi Mama wa

Watu na hawezi kuacha taifa hili litetereke kwa gharama yoyote hicho ndicho Comrade inatakiwa ukiheshimu na kukipenda.

Mama Samia nakuomba uendelee kupiga yako ,vichwa vyako tupo na tunaoona tupo.

Acheni ufala wote mnaomchukia Mama Samia. Mungu anasema tafuta kazi upate kazi,ufanye kazi na ndiyo upate riziki. Hata Mama Samia alianza kwa kutafuta. Acheni kudai masuluhisho yenu ya kifedha kutoka kwa Mama Samia yeye anafanya ya msingi tu.
 
Mtoto wako anatoka siku ya zile za fujo,uhuni,wizi na uvunjaji wa sheria nyingine nyingi na sio maandamano ambayo yako kisheria unamruhusu anaenda huko anashiriki unasikia kapigwa risasi unasema Mama Samia hafai na Mungu aliyeacha hilo litokee, anamchuliaje?
Waliouawa majumbani mwao walishiriki fujo gani? Fujo za kubaki nyumbani?

You’re seriously sick in the head!
 
That’s why I previously said you’re seriously sick in the head!
Everyone is saying what you are fucking saying but can't prove it.It means She wins.It is not her fault .She is at the top she addressed the matter from top.Uchaguzi hauwezi kusimamishwa kwa sababu ya wavunja sheria.

You are sickly sickest in head.
 
Everyone is saying what you are fucking saying but can't prove it.It means She wins.It is not her fault .She is at the top she addressed the matter from top.Uchaguzi hauwezi kusimamishwa kwa sababu ya wavunja sheria.

You are sickly sickest in head.
Were you already born when she said, “…nguvu iliyotumika ilikuwa nguvu sahihi…”?

I know sycophants when I run into them—you’re one of them. I am sure even the fazafaka’s farting is good enough for you to launch into a celebratory mood!
 
Everyone is saying what you are fucking saying but can't prove it.It means She wins.It is not her fault .She is at the top she addressed the matter from top.Uchaguzi hauwezi kusimamishwa kwa sababu ya wavunja sheria.

You are sickly sickest in head.
It is not whose fault!? You and the lady in question are both wicked creatures.
 
Hiyo ni Lissuphobia inayomtesa Samia na ninyi!
Kama amevunja sheria si Kesi iko mahakamani?
Lakini cha ajabu Mahakamani Jamhuri imekimbia kesi na haijui ifanye nini!
Ushauri! Mama na wana CCM mtandao waache kumwogopa wamwachie tu.
Lissu siyo Tanzania wala Tanzania siyo Lissu.
 
Tundu Lissu alikuwa active toka kipindi cha Hayati Mheshimiwa Rais J.P Magufuli na hakuwahi kuactivate Jinai kwa sababu alijua hawezi kufanikiwa na ni kitu ambacho kingempa adhabu kali sana .


Mama Samia nakuomba uendelee kupiga yako ,vichwa vyako tupo na tunaoona tupo.
Acheni ufala wote mnaomchukia Mama Samia.Mungu anasema tafuta kazi upate kazi,ufanye kazi na ndiyo upate riziki.Hata Mama Samia alianza kwa kutafuta.Acheni kudai masuluhisho yenu ya kifedha kutoka kwa Mama Samia yeye anafanya ya msingi tu.
RIP Ally Kibao.....kifo ni kifo tu
 
Back
Top Bottom