Mama Samia Suluhu aandaliwe vyema kuwa Rais wa Zanzibar 2020

iArmaniAdamson

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
944
287
Umofia Kwenu Wanajamvi.

Labda niwe wa kwanza kutupia kete yangu kwa mama Samia Suluhu kuwa Raisi mwanamke wa Kwanza huko visiwani mwaka 2020.

Najua itaonekana kama ni kipindi kirefu sana na leo ndio kwanza siku ya kwanza, Ila tukiangalia historia vizuri, makamu wa Raisi Tanzania bara huwa wanaandaliwa kwenda kuwa Raisi wa Zanzibar kwa kipindi kinachofuata.

Maana sioni kama kuna mtu mwingine atayeweza kupokea mikoba ya Dr. Shein pindi atakapo maliza muda wake wa kuwa Raisi 2020 (
albeit ) kuna uchaguzi miezi miwili kutokea sasa.
 
Kwanini mnapenda kuwaona wazanzibar wajinga kuwatupia Makapi
 
Kwani umesikia ccm itashunda tena....imeshazikwa tayari imaporimoka kila kukicha...hivyo muandae amrithi magufuli
 
Yaani mumle nyie huko bara kwa miaka 5 ndio baadae mutuletee makombo huku Zanzibar sio! Ngazi alioitumia kupandia ndio hiyo hiyo atakayoitumia kushukia!
 
Umofia Kwenu Wanajamvi.

Labda niwe wa kwanza kutupia kete yangu kwa mama Samia Suluhu kuwa Raisi mwanamke wa Kwanza huko visiwani mwaka 2020.

Najua itaonekana kama ni kipindi kirefu sana na leo ndio kwanza siku ya kwanza, Ila tukiangalia historia vizuri, makamu wa Raisi Tanzania bara huwa wanaandaliwa kwenda kuwa Raisi wa Zanzibar kwa kipindi kinachofuata.

Maana sioni kama kuna mtu mwingine atayeweza kupokea mikoba ya Dr. Shein pindi atakapo maliza muda wake wa kuwa Raisi 2020 (
albeit ) kuna uchaguzi miezi miwili kutokea sasa.

Aliekwambia kuna uchaguzi miezi miwili ijayo nani, au jecha babu yako?
 
naomba ututake radhi wazanzibari,sisi sera yetu kama wakurya mwanamke hana nafasi ya kuongoza
 
Unajitoa ufahamu kwamba hujui Zanzibar ni nchi ya kiislam. Je unajua nafasi ya mwanamke katika uongozi wa kiislam?
 
Kwani umesikia ccm itashunda tena....imeshazikwa tayari imaporimoka kila kukicha...hivyo muandae amrithi magufuli

Hivi ninani wa upizani kwa sasa anaweza kuiongoa ccm, mmeshindwa huu mwaka kwaajili yakuleta wagombea ambao hawaeleweki na kuwaacha wanaokipenda chama na ukwa kutoka moyoni ndo msahau kabsa, au unahisi Sumae ataweza.
Mmempa mawazo tu baba wa watu bule Lowassa wangu.
 
Umofia Kwenu Wanajamvi.

Labda niwe wa kwanza kutupia kete yangu kwa mama Samia Suluhu kuwa Raisi mwanamke wa Kwanza huko visiwani mwaka 2020.

Najua itaonekana kama ni kipindi kirefu sana na leo ndio kwanza siku ya kwanza, Ila tukiangalia historia vizuri, makamu wa Raisi Tanzania bara huwa wanaandaliwa kwenda kuwa Raisi wa Zanzibar kwa kipindi kinachofuata.

Maana sioni kama kuna mtu mwingine atayeweza kupokea mikoba ya Dr. Shein pindi atakapo maliza muda wake wa kuwa Raisi 2020 (
albeit ) kuna uchaguzi miezi miwili kutokea sasa.
Ingependeza kama atatayarishwa awe Rais wa Serikali ya Muungano. Rais Pombe Magufuli atawale kwa miaka 5 tu na asigombee tena 2020. Au unaona hafai kuwa Rais wa Tanzania?

Balozi Amina Ali atangazwe tu na CCM kuchukua nafasi ya Dr.Shein na Tanzania itaweka historia ya kuwa na Maraisi wawili wanawake kwa wakati mmoja mwaka 2020.
 
Hizi ni jazba au???
 
Hivi ninani wa upizani kwa sasa anaweza kuiongoa ccm, mmeshindwa huu mwaka kwaajili yakuleta wagombea ambao hawaeleweki na kuwaacha wanaokipenda chama na ukwa kutoka moyoni ndo msahau kabsa, au unahisi Sumae ataweza.
Mmempa mawazo tu baba wa watu bule Lowassa wangu.

Hoja na mada ni Zanzibar hapa . Usivamie tu...na kupiga push up mahali pa kutumia akili
 
Shein ameshinda Urais wa Zanzibar

Baada ya Seif ....mwaka 2020 ni Bab Duni
 
Back
Top Bottom